Waraka wa wazi kwa The Finest.

Waraka wa wazi kwa The Finest.

Hahah kweli mjini shule. Na kuhonga kote kule kwenye kampeni kumpe nimefosiwa kingi? Yoyote alokula hela yangu anirudishie fasta kabla sijamfungulia sredi.
Asprin nimecheka hadi mate na makamasi yamenitoka . . . Mkuu usinifungulie sredi, mjini hapa nitauweka wapi uso wangu? lol

Kama vipi vipi ni PM nikurushie kwa Voda Pesa au Tigo Pesa.

Jela si kuzuri Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
..Mbona hili linajulikana siku nyingi, kwani wewe Bishanga mgeni humu?!. Chungulia ule uzi wa JF Couples
 
Back
Top Bottom