Waraka wa wazi kwa Wanaume wote

Waraka wa wazi kwa Wanaume wote

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
1. WADANGAJI hawajawahi kuwa na huruma na pesa zetu hata familia zetu.

2. WADANGAJI hawajawahi kuwa na upendo siku ambazo mifuko haina kitu.

3. WADANGAJI hawawezi kukuletea uji ukiwa hospital au kuja kukujulia hali

4. WADANGAJI hawana huruma na watoto wako atakukwapua kila kitu

5. WADANGAJI hawana upendo wa dhati upendo wake unategemea una kiasi gani kwenye mfuko wako

KAKA ANGU mpendezeshe mkeo avutie, nunua chakula kizuri ule na familia yako. Wathamini watoto waliotoka katika kiuno chako.

KAKA ANGU hizo gharama unazotumia kugharamia penzi la mdangaji tumia kumpendezesha mkeo akuvutie ili uenjoy uzuri ulifumbaa kwa kukosa mavazi na lishe nzuri yawezekana ni mzuri ila amekosa matunzo.

1731101597359.jpg
 
Back
Top Bottom