Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
ubarikiwe....
amen mpendwa,tuwasaidie wenzetu wasipotee,
nahisi wanahitaji zaidi ya huu upatanisho.hiyo vurugu ni kazi ya devil.singependa kuhukumu lakini kama hayo yanatokea ni kweli basi yawapasa kumpokea bwana yesu kikwelikweli.i mean toba ya kumaanisha.and then wafanye delivarance kama kuna maagano au mikataba nje ya mungu ivunjwe.
Hivi utamlinda mumeo hata kama amebaka?Kama ametenda kosa la ubakaji Flora Mbasha jinsi,hilo ni kosa la jinai,tusifumbie macho uovu sababu tu tunawapenda watu wa aina fulani.Amepotoka akiri amekosa aombe radhi yataisha ila kwa vile ni kosa la jinai bado jela itamsubiri.Pole zake.Ila namuomba Flora amtendee haki mdogo wake aliyebakwa bila kujali nani aliyembaka,bado mumewe amefanya kosa kisheria na kikatiba.
Mbona mnakwepa kumuongelea Muhusika mkuu Gwajima..
Unauhakika Mbasha alibaka, unaripoti ya Dokta, Unavipimo vya DNA kuonyesha shahawa ni za Mbasha.?Hivi utamlinda mumeo hata kama amebaka?Kama ametenda kosa la ubakaji Flora Mbasha jinsi,hilo ni kosa la jinai,tusifumbie macho uovu sababu tu tunawapenda watu wa aina fulani.Amepotoka akiri amekosa aombe radhi yataisha ila kwa vile ni kosa la jinai bado jela itamsubiri.Pole zake.Ila namuomba Flora amtendee haki mdogo wake aliyebakwa bila kujali nani aliyembaka,bado mumewe amefanya kosa kisheria na kikatiba.