Waraka wangu kwa Flora Mbasha.

Waraka wangu kwa Flora Mbasha.

Status
Not open for further replies.
PRINCE CROWN

Nahisi wanahitaji zaidi ya huu upatanisho.Hiyo vurugu ni kazi ya devil.Singependa kuhukumu lakini kama hayo yanatokea ni kweli basi yawapasa kumpokea Bwana Yesu kikwelikweli.I mean Toba ya kumaanisha.And then wafanye delivarance kama kuna maagano au mikataba nje ya Mungu ivunjwe.
 
Last edited by a moderator:
PRINCE CROWN

Hivi utamlinda mumeo hata kama amebaka?Kama ametenda kosa la ubakaji Flora Mbasha jinsi,hilo ni kosa la jinai,tusifumbie macho uovu sababu tu tunawapenda watu wa aina fulani.Amepotoka akiri amekosa aombe radhi yataisha ila kwa vile ni kosa la jinai bado jela itamsubiri.Pole zake.Ila namuomba Flora amtendee haki mdogo wake aliyebakwa bila kujali nani aliyembaka,bado mumewe amefanya kosa kisheria na kikatiba.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu msuluhishi mbona umeegemea upande mmoja kama vile hujui kuwa wote wawili kila mmoja ana mchango katika sakata hili? Au ndo na wewe unataka kucheza na fursa?
 
nahisi wanahitaji zaidi ya huu upatanisho.hiyo vurugu ni kazi ya devil.singependa kuhukumu lakini kama hayo yanatokea ni kweli basi yawapasa kumpokea bwana yesu kikwelikweli.i mean toba ya kumaanisha.and then wafanye delivarance kama kuna maagano au mikataba nje ya mungu ivunjwe.

uko sahihi kabisa.ubarikiwe kwa maneno yako mpendwa.
 
Weka paragraph unapoandika.....Inachosha sana..

Vipi mbona hujamuongelea Gwajima
 
Nashukuru dini yangu inaruhusu talaka, mapenzi yakiisha hamna haja ya kulazimisha, hamna haja ya kutafutiana sababu na kutengenezeana kesi.
Tunaachana kwa kheri...tena kwa kesi ya zinaa ndo kabisaaa kama msamaha hauwezekani basi ndoa inavunjwa.

Haya mambo ya kulazimisha mioyo ilochokana na kukinaiana na iliyofunga milango ya msamaha ni mabaya....mwishowe mnaweza kuta watu wametoboana visu vya koromeo.
 
Ikiwa hata hawa walio mstari wa mbele kwenye jeshi la uzima wa milele wanaanguka kizembe namna hii itakuwaje kwa wasiomjua Mungu? Wanastahili kujikagua upya na kama wataona walipo hapawastahili waingie tu hata kwenye upande waliokuwa wanauita wa kidunia ili ijulikane moja! Shame upon aliyeanza kuanguka,na shame zaidi kwa aliyeshindwa kumbebea mwenzie zigo lake la dhambi!
 
kama ni kweli flora anago.ngwa na gwajima basi nampa bwana mbasha ushauri wa ki dunia aendelee kivyake. ni dharau kubwa kugongewa mkeo halafu ukajua. mwanamke inabidi awe msiri. kwa hiyo bwana mbasha we chukulia kama umelipiza na songa mbele. hii michongo ya kumsingizia shetani kila kitu sio.

play on playa. usikubali kuwa bushoke
 
ndoa na iheshimiwe na watu wote mr & mrs Mbasha hayo ni mapito jipeni moyo mtayashinda
 
Kama ningepata fursa basi ningemshauri Mbasha aachane kabisa na Flora !
Kwa kufanya hivyo angepata maisha mapya yenye amani na ushindi.
Tena angeipa jamii fursa ya kumjua vizuri Flora.
Na zaidi angejiondoa katika utumwa wa mapenzi !
 
Hivi utamlinda mumeo hata kama amebaka?Kama ametenda kosa la ubakaji Flora Mbasha jinsi,hilo ni kosa la jinai,tusifumbie macho uovu sababu tu tunawapenda watu wa aina fulani.Amepotoka akiri amekosa aombe radhi yataisha ila kwa vile ni kosa la jinai bado jela itamsubiri.Pole zake.Ila namuomba Flora amtendee haki mdogo wake aliyebakwa bila kujali nani aliyembaka,bado mumewe amefanya kosa kisheria na kikatiba.

Chukua like! Argument iliyokwenda shule!
 
Sometimes najishangaa kama naelewaga hizi dini.
 
PRINCE CROWN

Mkuu ubarikiwe kanisa lako linaitwaje maana kuna naniito awachelewi kukuzushia mengine
 
Last edited by a moderator:
Hivi utamlinda mumeo hata kama amebaka?Kama ametenda kosa la ubakaji Flora Mbasha jinsi,hilo ni kosa la jinai,tusifumbie macho uovu sababu tu tunawapenda watu wa aina fulani.Amepotoka akiri amekosa aombe radhi yataisha ila kwa vile ni kosa la jinai bado jela itamsubiri.Pole zake.Ila namuomba Flora amtendee haki mdogo wake aliyebakwa bila kujali nani aliyembaka,bado mumewe amefanya kosa kisheria na kikatiba.
Unauhakika Mbasha alibaka, unaripoti ya Dokta, Unavipimo vya DNA kuonyesha shahawa ni za Mbasha.?

Au wewe ndio uliebakwa.?
 
Hakika ushauri wa mleta uzi hautozaa matunda tarajiwa, sababu umeegemea upande mmoja kana kwamba Florah hana sehemu ya lawama. Mira na desturi za makabira mengi ya ki-tanzania, yanamtaka mke kuwa mtiifu na mnyenyekevu kwa mume wakati wote na popote, hivyo kama florah anafikia hatua ya kuondoka kwa mumewe na kwenda kuishi guest house, huo ni ukosefu wa adabu, heshima na unyenyekevu kwa mume, na ndo chanzo cha yote hadi hatua iliyopo sasa. Kama Florah ni msukuma, aseme ukweli kama analofanya nini sahihi kwa mira na desturi za kisukuma. Namshauri mleta uzi aanze na Florah kwanza, afunze ADABU.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom