Waraka wangu kwa Flora Mbasha.

Waraka wangu kwa Flora Mbasha.

Status
Not open for further replies.
kwani hakuna mada zingine za kujadili mpaka flora flora flora flora sasa itakuwa ni wimbo wa taifa huu tumechoshwa
 
Ujinga wake hausian na wanawake wote wala familia yake.
 
Frola frola kila siku, au nyinyi mpo upande wa mumewe sasa mnatafuta huruma za watu. Na nyinyi ambao kila kukicha mnaposti habari za hawa watu. Ndoa ikivunjika isivunjike nyinyi mnafaida gani? Au mnataka walegwa wachanganyikiwe washidwe kupata suluhu au moja wapo ajiuwe siyo ndio iwe furaha yenu. Acheni hizo bhana, pumbafu!!!
 
...mkuu kuna wanaume pia wanafuatilia nyimbo za injili!
 
hayo anayajua ye na mumewe, third pati tutacoment tusivyovijua kweli
 
Msaada:
Ni mwimbaji gani wa nyimbo za dini siyo Msanii;na astahili kuitwa mtumishi wa Mungu kwa huduma ya uimbaji wake ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom