Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

Kaka Tuma asante kwa hoja nzuri na maridhawa, naamini umeusoma huu waraka, je unaweza kuscan na kuuweka hapa ili wote tuusome? nitashukuru, unaweza kumtumia Invisible ili aweke incase kama hutaweza.Kama hutaweza kwa sababau za security(kama zipo) je waraka una page ngapi na ni wa tarehe gani? na umekuwa addressed kwa nani?

Pili mimi sio Mkatoliki ila ni Mkristo, mbona naona unachanganya kati ya ukatoliki na ukristo maana wakristo ni wengi sana mkuu!

Mwisho, mbona hawa viongozi wa kikatoliki siwaelewi? maana walisema JK chaguo la Mungu, kwa nini wamemgeuka tena leo? ina maana Mungu anabadilika??

Kila mtu anayechanguliwa kuwa kiongozi kwa ridhaa ya watu wake kwa kawaida hutafsiriwa kuwa ni chaguo la Mungu. Kwa hiyo, kusema Kikwete ni 'chaguo la Mungu' kuna maana ya kuwa kachaguliwa kwa ridhaa ya Watanzaia (watu wake).

Ila sasa, kumchagua kiongozi na baadaye akadhoofika katika uongozi wake hakumfungi mtu aliyemchagua kumkosoa (walau ndivyo binadamu tulivyo). Mfano, sheikh akishasimikwa anakuwa amewekwa wakfu kwa kazi ya Mungu. Kama huyo sheikh akifanya udhaifu fulani katika maisha yake huwezi kuzuia watu waliomsimika kumkosoa (hivyo hivyo kwa mchungaji, padre, askofu, papa) etc.

Kuna Latin maxim kwamba Vox populi, vox dei (the voice of the people is the voice of God) - hii ina maana ya sauti elekezi na mambo mema.

Kwa hiyo, kurudiarudia tu kwamba Wakatoliki ndio waliosema hivyo, hakuna maana yoyote. Mbona viongozi tunawachagua halafu wanavurunda, kwa hiyo tusiwakosowe kwa vile tuliwachagua? Vilevile kuna watu tunaona wanafanya mambo mazuri na tunaweza kusema ni watu wema/watu wa Mungu. Je, siku wakibadilika na kutenda mabaya tusiwakosowe kwa vile tulishasema ni wema?

Mimi naona tunatumia tu msemo huu 'sauti ya Mungu' bila kujua maana yake na ndiyo maana tunadhani kusema 'Kikwete ni chaguo la Mungu' tunaona kama Mungu ndiye alikuja hapa Tanzania mwaka 2005 na kumchagua Jakaya Kikwete kuwa Rais wa Tanzania.

Mbona huwa tunasema sisi ni watoto wa Mungu? Kwa hiyo, tuelewe 'chaguo la Mungu' kama 'chaguo la watu' (ndiyo maana yake). Ni kama kusema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu - siyo kwamba tuna sura ya Mungu (physical appearence) ila kwamba tuna thamani kubwa machoni pa Mungu na Mungu ametupa heshima, utu (dignity).

Kuna mtaalamu mmoja aliweza kutumia maneno yafuatayo katika kuelezea utukufu wa Mungu: 'God's glory is to be a human being fully alive!' Kwa maneno mengine, utukufu wa Mungu unadhihirika pale binadamu anapoishi kama anavyotakiwa kuishi na muumba wake - kutumia vipaji vyake vizuri, kuwapenda na kuwaheshimu wenzake na kufanya kazi kadiri ya uwezo wake (as best as he can).
 
Magobe T,

..nadhani tukabaliane tu kwamba Askofu aliyetoa tamko kwamba JK ni chaguo la Mungu "aliteleza." harakati zilizopelekea JK kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM zilitawaliwa na RUSHWA ya kiwango ambacho hakijawahi kutokea ktk historia ya CCM na Tanzania.

..pia ingekuwa vizuri kama kauli ile ichukuliwe kama kauli binafsi ya Askofu mhusika. pia ieleweke kwamba, Maaskofu, kama wanadamu, mara nyingine hutoa kauli zenye makosa na ambazo hazijafanyiwa utafiti.

..ISISITIZWE KWAMBA HAIKUWA KAULI WALA MSIMAMO WA KANISA KATOLIKI.
 
.

Kuna Latin maxim kwamba Vox populi, vox dei (the voice of the people is the voice of God) - hii ina maana ya sauti elekezi na mambo mema.

Kwa hiyo, kurudiarudia tu kwamba Wakatoliki ndio waliosema hivyo, hakuna maana yoyote. .

Supported; kweli sauti ya wengi ni ya Mungu? why are you quoting this lame quotes, kwa sababu walisema warumi??. Wapiga kura walikuwa wangapi ukicompare na population ya watanzania?

Lengo langu sio kusema wakatoliki hapa, dont take me wrong, hat aliyekuwa askofu wangu Mozes Kulola wa EAGT naye alisema the very same words

Ndege ya uchumi alinilazimisha nitoe hizo links, however hajakosea kuomba hizo links.

Bottom line ni kuwa nilitaka Tumaini aamini na kujua kuwa Kikwete ambaye ni mwislam bado alipendwa na anapendwa na wakristo wengi, nikamtolea mfano kuwa kati ya waliosema JK ni chaguo la Mungu wako baadhi ya wakatoliki. Tumaini anataka kutuaminisha kuwa kuna waraka wa kikatoliki unaopinga waislamu kukaa madarakani, which is a big lie!!!

wakristo siku zote wamewapenda na kuwaheshimu waislam since then; waislam walio wengi wana inferiority complex! and this cause a lots of problems!

Magobe T,

..nadhani tukabaliane tu kwamba Askofu aliyetoa tamko kwamba JK ni chaguo la Mungu "aliteleza." harakati zilizopelekea JK kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM zilitawaliwa na RUSHWA ya kiwango ambacho hakijawahi kutokea ktk historia ya CCM na Tanzania.

..pia ingekuwa vizuri kama kauli ile ichukuliwe kama kauli binafsi ya Askofu mhusika. pia ieleweke kwamba, Maaskofu, kama wanadamu, mara nyingine hutoa kauli zenye makosa na ambazo hazijafanyiwa utafiti.

..ISISITIZWE KWAMBA HAIKUWA KAULI WALA MSIMAMO WA KANISA KATOLIKI.

Kweli kabisa kauli ya askofu mmoja au mkristo mmoja isichukuliwe kama ni ya watu wote, I do agree with you.

Kama nilivyoeleza hapo juu intention ya kueleza haya ni kumwonyesha Tumaini kuwa ni mwongo na mnafiki, christians from different denominations they like muslims! na hao waliosema JK ni chaguo la Mungu wanatosha kumpa elimu kuwa wakatoliki hawan ajenda za siri nchi hii.

Kuhusu kusema kuwa askofu aliteleza kusema ni chaguo la Mungu I do agree with you. Hata hili nililipiga sana vita magazeti ya kikristo. JK and EL at that time waliwapagawisha watanzania kupitia vyombo vya habari, wachungaji hawakuomba na wakafuata mkumbo na kutoa comment ambazo leo wanazijutia.

We need to pray hard before electing leaders; kumtangaza na kusema fulani ni chaguo la Mungu kabla ya uchaguzi na kwenye uchaguzi wa vyama vingi this alone is not God's wisdom!!
 
http://www.blogcatalog.com/blog/thomcom/3717ae5e7cbddc69bd641d8aef3c92f5

http://ngurumo.blogspot.com/2007/01/kikwete-vua-ngozi-ya-mkapa-uwe-shujaa.html

http://www.jambonetwork.com/blog/?p=8242 (maoni ya watu)

http://issamichuzi.blogspot.com/2009/07/kanisa-katoliki-laipa-shavu-serikali-ya.html

http://www.habaritanzania.com/new/a...asa-waambiwa-waache-kuchukia-viongozi-wa-dini

These links may give you highlights;

Lengo langu;

Viongozi wa makanisa ya kikristo kuanzia katoliki , lutheran , angalican n.k wote kwa namna moja au nyingine walikuwa wanamkubali na kumpenda JK. Hata kama kauli zao walizozitoa miaka 5 iliyopita hazitanukuliwa ontu au kupatikana kama unavyotaka wewe.

Lengo langu la kuumuliza hilo swali Tumaini ni kumweleza waz na kwa kina hakuna namna yoyote ambayo wakristo wamekuwa wakisema nchi hii lazima itawaliwe na wakristo! logically, nataka afute mawazo yake na kujiangalia kwenye kioo kuwa there is no way, wakatoliki wakaandika huo waraka, kuwa lazima nchi hii itawaliwe na waliolelewa na wakristo

Ndio maana nimemuuliza kijanja aweke hapa huo waraka aliousoma, nina hakika hajauona wala hajasoma, na amerukia kutoa maneno makali na mabaya juu ya wakristo!

Angalia kwenye post za Tumaini meseji yake akiyoiweka chini ''Kuwa Yesu si Mungu, ni mtu na mjume wa Mungu' umeshaona wapi mtu mzima anaweka ujumbe wake huo unaoonyesha ana chuki za wazi kabisa na wakristo.

Sikutaka uingilie hapa, ila imebidi, I can not condemn baadhi ya wakatoliki au wakritso waliokuwa wanampenda JK, na hao waliokuwa wanampenda JK hata kusema ni chaguo la Mungu, wanaweka wazi kuwa , hakuna kwa namna yoyote nchi hii kuwa wakristo wanawachukia waislam.This alone could have made Tumain to realise his thoughts

angalia Tumaini anavyotaka tuamini.

watu wa aina ya Tumaini na wengine nitakao waexpose hivi karibuni wanawaza udini na wanataka kuleta udini.

Nenda kwenye hospitali na shule za kikatoliki hutakuta mtu wa imani nyingine anabaguliwa, they treat all people the same.

Sorry for that, but it is true kuna baadhi ya viongozi wa wakatoliki na makanisa mengine walisema Kikwete Chaguo la Mungu, alianza Mapunda dsm, akaja askofu mmoja Songea na Zanzibar, but trust me they did that kwa mapenzi yao, na jamii inachukulia ni kanisa, na hatuwezi kukwepa kuwa sio viongozi wanapotoa sentensi zinazokinzana na hali halisi, ila ni viongozi wanavyotoa sentensi zinazokubaliana na sisi!

I think that is how the world is , unless I have strange experince.....

Unajua mtu mzima kusema yesu ni Mungu anaonyesha chuki kwa waislamu...interesting argument!

Ndio unavyofikiri kwamba mtu akisema yesu si mungu ana chuki ajabu???
 
Supported; kweli sauti ya wengi ni ya Mungu? why are you quoting this lame quotes, kwa sababu walisema warumi??. Wapiga kura walikuwa wangapi ukicompare na population ya watanzania?

Lengo langu sio kusema wakatoliki hapa, dont take me wrong, hat aliyekuwa askofu wangu Mozes Kulola wa EAGT naye alisema the very same words

Ndege ya uchumi alinilazimisha nitoe hizo links, however hajakosea kuomba hizo links.

Bottom line ni kuwa nilitaka Tumaini aamini na kujua kuwa Kikwete ambaye ni mwislam bado alipendwa na anapendwa na wakristo wengi, nikamtolea mfano kuwa kati ya waliosema JK ni chaguo la Mungu wako baadhi ya wakatoliki. Tumaini anataka kutuaminisha kuwa kuna waraka wa kikatoliki unaopinga waislamu kukaa madarakani, which is a big lie!!!

wakristo siku zote wamewapenda na kuwaheshimu waislam since then; waislam walio wengi wana inferiority complex! and this cause a lots of problems!

Kweli kabisa kauli ya askofu mmoja au mkristo mmoja isichukuliwe kama ni ya watu wote, I do agree with you.

Kama nilivyoeleza hapo juu intention ya kueleza haya ni kumwonyesha Tumaini kuwa ni mwongo na mnafiki, christians from different denominations they like muslims! na hao waliosema JK ni chaguo la Mungu wanatosha kumpa elimu kuwa wakatoliki hawan ajenda za siri nchi hii.

Kuhusu kusema kuwa askofu aliteleza kusema ni chaguo la Mungu I do agree with you. Hata hili nililipiga sana vita magazeti ya kikristo. JK and EL at that time waliwapagawisha watanzania kupitia vyombo vya habari, wachungaji hawakuomba na wakafuata mkumbo na kutoa comment ambazo leo wanazijutia.

We need to pray hard before electing leaders; kumtangaza na kusema fulani ni chaguo la Mungu kabla ya uchaguzi na kwenye uchaguzi wa vyama vingi this alone is not God's wisdom!!

Unaonaje nikisema kwamba wewe ni mwongo na Mnafiki pia...pretending to have love like deep inside hypocracy...nimesoma waraka wote na details zake ni chuki na unafiki kupita kiasi kwa nchi yetu..call spade a spade
 
http://www.blogcatalog.com/blog/thomcom/3717ae5e7cbddc69bd641d8aef3c92f5

http://ngurumo.blogspot.com/2007/01/kikwete-vua-ngozi-ya-mkapa-uwe-shujaa.html

http://www.jambonetwork.com/blog/?p=8242 (maoni ya watu)

http://issamichuzi.blogspot.com/2009/07/kanisa-katoliki-laipa-shavu-serikali-ya.html

http://www.habaritanzania.com/new/a...asa-waambiwa-waache-kuchukia-viongozi-wa-dini

These links may give you highlights;

Lengo langu;

Viongozi wa makanisa ya kikristo kuanzia katoliki , lutheran , angalican n.k wote kwa namna moja au nyingine walikuwa wanamkubali na kumpenda JK. Hata kama kauli zao walizozitoa miaka 5 iliyopita hazitanukuliwa ontu au kupatikana kama unavyotaka wewe.

Lengo langu la kuumuliza hilo swali Tumaini ni kumweleza waz na kwa kina hakuna namna yoyote ambayo wakristo wamekuwa wakisema nchi hii lazima itawaliwe na wakristo! logically, nataka afute mawazo yake na kujiangalia kwenye kioo kuwa there is no way, wakatoliki wakaandika huo waraka, kuwa lazima nchi hii itawaliwe na waliolelewa na wakristo

Ndio maana nimemuuliza kijanja aweke hapa huo waraka aliousoma, nina hakika hajauona wala hajasoma, na amerukia kutoa maneno makali na mabaya juu ya wakristo!

Angalia kwenye post za Tumaini meseji yake akiyoiweka chini ''Kuwa Yesu si Mungu, ni mtu na mjume wa Mungu' umeshaona wapi mtu mzima anaweka ujumbe wake huo unaoonyesha ana chuki za wazi kabisa na wakristo.

Sikutaka uingilie hapa, ila imebidi, I can not condemn baadhi ya wakatoliki au wakritso waliokuwa wanampenda JK, na hao waliokuwa wanampenda JK hata kusema ni chaguo la Mungu, wanaweka wazi kuwa , hakuna kwa namna yoyote nchi hii kuwa wakristo wanawachukia waislam.This alone could have made Tumain to realise his thoughts

angalia Tumaini anavyotaka tuamini.

watu wa aina ya Tumaini na wengine nitakao waexpose hivi karibuni wanawaza udini na wanataka kuleta udini.

Nenda kwenye hospitali na shule za kikatoliki hutakuta mtu wa imani nyingine anabaguliwa, they treat all people the same.

Sorry for that, but it is true kuna baadhi ya viongozi wa wakatoliki na makanisa mengine walisema Kikwete Chaguo la Mungu, alianza Mapunda dsm, akaja askofu mmoja Songea na Zanzibar, but trust me they did that kwa mapenzi yao, na jamii inachukulia ni kanisa, na hatuwezi kukwepa kuwa sio viongozi wanapotoa sentensi zinazokinzana na hali halisi, ila ni viongozi wanavyotoa sentensi zinazokubaliana na sisi!

I think that is how the world is , unless I have strange experince.....

At least jambo moja liko wazi ! Muungwana hachaguwiu dini wala chama kuoffer as far as ukitowa shavu. Mrema , Sheikh Yahya Na SaSA Askofu Kilaini,
 
Kwa sisi tunapoona kiongozi fulani anatowa kauli na wafuasi hawaikanushi tunachukulia kuwa ni kauli ya jumuiya. Ni bora mtuelekeze mipaka yenu ya uongozi na ubinafsi. Na kwa hili kama mgelieleza mapema kuwa hizo ni kauli za kibinafsi basi hivi sasa kanisa lisingehusishwa na kauli hizi.
 
Unajua mtu mzima kusema yesu ni Mungu anaonyesha chuki kwa waislamu...interesting argument!

Ndio unavyofikiri kwamba mtu akisema yesu si mungu ana chuki ajabu???

Just write Issa bin Mariam is not God, tunaposema sifa za Yesu hatuzisemi kwa ajili ya waislam tunasema maana ndivyo alivyo!

Unajua kabisa dini yenu mna Issa ambaye mnamfananisha na Yesu, kwa nini kwenye meseji yako usiandike Issa? kuandika Yesu sio Mungu, huoni kuwa unamatatizo hapo? dini yako kamwe haina feelings juu ya wengine, je kuumiza feelingsza watu wengine kwenye dini yenu ni sawa? this need common sense ndogo tu! mkuu wala haina ubishi.

Una chuki za kidini kuna na hii kila siku itakupa pressure ndugu. I have lots of muslim friends sijaona kabisa wakiwa na idea kama wewe! huwezi kusema hicho kitu kwenye jumuiya ya Tanzania, hivi leo watu wakianza kundika alll negative things about Muhammad , Tz patakalika??

Badilisha hiyo meseji yako, nakupa wiki mbili za ustaarabu kabla sijachukua hatua mbadala.

Unaonaje nikisema kwamba wewe ni mwongo na Mnafiki pia...pretending to have love like deep inside hypocracy...nimesoma waraka wote na details zake ni chuki na unafiki kupita kiasi kwa nchi yetu..call spade a spade

Nilikuomba kaka, ninaomba tena waraka huo uuweke hapa kila mtu auone! we dare to talk openly.... tatizo ni nini???

Kwa sisi tunapoona kiongozi fulani anatowa kauli na wafuasi hawaikanushi tunachukulia kuwa ni kauli ya jumuiya. Ni bora mtuelekeze mipaka yenu ya uongozi na ubinafsi. Na kwa hili kama mgelieleza mapema kuwa hizo ni kauli za kibinafsi basi hivi sasa kanisa lisingehusishwa na kauli hizi.

You are right, na ndiyo nilichosema sio rahisi kutomuusisha kiongozi na jumuiya anayoiongoza.you are right. Na kama ulivyosema awali nchi ya Tanzania uislam na ukristo is something that you can not separate them piga ua! watu wenye udini ni wachache mno kulinganisha na majority ya watu wanaowaza maisha!
 
Just write Issa bin Mariam is not God, tunaposema sifa za Yesu hatuzisemi kwa ajili ya waislam tunasema maana ndivyo alivyo!

Unajua kabisa dini yenu mna Issa ambaye mnamfananisha na Yesu, kwa nini kwenye meseji yako usiandike Issa? kuandika Yesu sio Mungu, huoni kuwa unamatatizo hapo? dini yako kamwe haina feelings juu ya wengine, je kuumiza feelingsza watu wengine kwenye dini yenu ni sawa? this need common sense ndogo tu! mkuu wala haina ubishi.

Una chuki za kidini kuna na hii kila siku itakupa pressure ndugu. I have lots of muslim friends sijaona kabisa wakiwa na idea kama wewe! huwezi kusema hicho kitu kwenye jumuiya ya Tanzania, hivi leo watu wakianza kundika alll negative things about Muhammad , Tz patakalika??

Badilisha hiyo meseji yako, nakupa wiki mbili za ustaarabu kabla sijachukua hatua mbadala.

Nilikuomba kaka, ninaomba tena waraka huo uuweke hapa kila mtu auone! we dare to talk openly.... tatizo ni nini???

You are right, na ndiyo nilichosema sio rahisi kutomuusisha kiongozi na jumuiya anayoiongoza.you are right. Na kama ulivyosema awali nchi ya Tanzania uislam na ukristo is something that you can not separate them piga ua! watu wenye udini ni wachache mno kulinganisha na majority ya watu wanaowaza maisha!

Te te te Mkuu nimebadilisha usije kuchukulia hatua ha ha ha!
 
Waberoya utapoteza muda na nguvu zako bure kwa huyu jamaa, jaribu kufuatilia post zake utagundua ni mtu wa aina gani si zile za kidini wala si za kisiasa, ndipo rudi ujibizane naye otherwise mtakesha. jana nilisoma post zake kwenye thread moja aliyokuwa anatumia Mh. Slaa kujibu ndipo nilipomjua zaidi, jinsi anavyouliza na jinsi anavyo wajibu maJF wengine na hata jinsi anavyo-reply kwa Hon. Slaa it was very disgusting.
 
Te te te Mkuu nimebadilisha usije kuchukulia hatua ha ha ha!

Weka waraka hapa wewe Ngumbaru! Inaonekana unajadili hewa mkuu! Unao weka hapa Vinginevyo nitakuweka kwenye kundi la Wambeya na Wachonganishi
 
huo waraka haupo, na alichofanya ni kujudge, kutoa matusi na kulia, bila kuuona wala kuuliza hana hakika na anachokisema. just imagine maandishi yote haya yanatoka kwa 'intellectual' Tumaini bila vithibitisho!
 
Unaonaje nikisema kwamba wewe ni mwongo na Mnafiki pia...pretending to have love like deep inside hypocracy...nimesoma waraka wote na details zake ni chuki na unafiki kupita kiasi kwa nchi yetu..call spade a spade

I will be moving with those words; kama hujasoma huo waraka, tuyamalize kwenye thread hii kwa kuomba msamaha wana JF, kimya kimya kwenye hii thread. Kama umesoma na jinsi ulivyosisitiza basi tutakubembeleza wee mpaka huo waraka uweke hapa ili wote tuusome na kujua kitu gani kimeandikwa. nadhani unajua ni kosa kudanganya hapa JF.

Hopefully we will get genuine copy and paste here, or you can say 'sorry' I was wrong. Kudanganya watu sio vizuri.
 
Weka waraka hapa wewe Ngumbaru! Inaonekana unajadili hewa mkuu! Unao weka hapa Vinginevyo nitakuweka kwenye kundi la Wambeya na Wachonganishi
Haitabadili ukweli nani alikwambia naogopa kuniweka popote ukweli umeshapewa ndilo nalotaka finito
 
huo waraka haupo, na alichofanya ni kujudge, kutoa matusi na kulia, bila kuuona wala kuuliza hana hakika na anachokisema. just imagine maandishi yote haya yanatoka kwa 'intellectual' Tumaini bila vithibitisho!
Ha ha nilie mimi unachekesha kweli ndio kwanza navuta kikombe cha kahawa sijawahi kulia wala sina sababu ya kulia ndugu agh!

Uhakika ninachosema ninao ndio, proof moja ni jinsi unavyolia lia hapa kudefended kanisa lako ovu.
 
Haitabadili ukweli nani alikwambia naogopa kuniweka popote ukweli umeshapewa ndilo nalotaka finito

...''nimesoma waraka wote na details zake ni chuki na unafiki kupita kiasi kwa nchi yetu''-Tumaini

Tumaini tunaomba huo waraka uuweke hapa mkuu, tunakuomba sana
 
ha ha nilie mimi unachekesha kweli ndio kwanza navuta kikombe cha kahawa sijawahi kulia wala sina sababu ya kulia ndugu agh!

Uhakika ninachosema ninao ndio, proof moja ni jinsi unavyolia lia hapa kudefended kanisa lako ovu.
busara yako iko matakoni.
 
I will be moving with those words; kama hujasoma huo waraka, tuyamalize kwenye thread hii kwa kuomba msamaha wana JF, kimya kimya kwenye hii thread. Kama umesoma na jinsi ulivyosisitiza basi tutakubembeleza wee mpaka huo waraka uweke hapa ili wote tuusome na kujua kitu gani kimeandikwa. nadhani unajua ni kosa kudanganya hapa JF.

Hopefully we will get genuine copy and paste here, or you can say 'sorry' I was wrong. Kudanganya watu sio vizuri.

Ntafanya hivyo kwa muda wangu lakini si kwa shikizo lako ndugu..nimeweza kukubali la mambo ya dini tu kwa kuheshimu dini yako finito, hizo zingine ntaweka kwa wakati wangu..lakini huo ndio ukweli

endelea kulia kulia kutetea kanisa lako ovu shame on you.
 
wAISLAMU !!!!!!
 
Back
Top Bottom