Waraka usio na 'authorship' (kama huu tunaouongelea wenye kurasa 3) na haujulikani unatoka wapi hauwezi kugawiwa katika makanisa ya Katoliki wala kuuzwa kwenye 'bookshops' zao. Vyote vinavyogawiwa au kuuzwa kwenye hili Kanisa (linaloshtumiwa kuwa ndilo limeuandika) huwa vinajulikana vimeandikwa na nani na ujumbe wake ni upi.
Nenda pale Paulines Media Bookshop (kwenye jengo la iliyokuwa Shule ya Sekondari ya Forodhani, just opposite to St Joseph's Cathedral - ndipo ilipohamia St Joseph's Bookshop kutoka ilipokuwa zamani) utapata vitabu (vyenye majina ya watunzi), magazeti (yenye majina ya watunzi) na nyaraka mbalimbali (zenye majina ya watunzi). Hutakuta anonymous letter au book in circulation.
Waraka unaogawiwa makanisani au kuuzwa kwenye bookshops za Kanisa Katoliki ni ule uliotoka mwanzoni (vijitabu - ILANI au Mpango wa Kichungaji... etc) na umesainiwa na Bishop Luzoka, mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya TEC.
Kwa hiyo, acha uongo wako! Kuhusu uwiano unaousema, hautegemei na dini bali kama mtu amesoma na ana ujuzi unaotakiwa kwa kazi fulani au la. Kazini kwetu kuna idadi ndogo sana ya wafanyakazi ambao ni Waislamu licha ya kuwa 'owner' wa kampuni ni Mwislamu.
Je, unataka kusema Wakristo walienda kwa huyo 'owner' wakamwambia asiwaajiri Waislamu bali awe anawaajiri waumini wa madhehebu mengine tu? Shida yenu ni kwamba huwa mnajibagua wenyewe na baadaye mnaanza kulalamika kwamba mnabaguliwa. Cha kufanya: someni na siyo tu kusoma madrassa. Nasema nendeni shule ili muwe na ushindani sawa na Watz wengine.
Mara kadhaa nimekuwa nikijadiliana na watu na kuniambia ni wasomi na ukiwauliza wamesoma wapi au chuo gani wanasema wamemaliza chuo cha madrassa. Kuna siku nilitembelewa na rafiki yangu mmoja kutoka Uingereza na alikuja jirani yangu pia ambaye ni Mwislamu.
Katika kujitambulisha na mazungumzo yetu, huyo Mwislamu alimwambia huyo mtishi kuwa amemaliza chuo na jamaa (mtishi) akawa na imani kuwa ana elimu ya chuo kikuu. Basi yule mtishi akaanza kushusha hoja kuhusu elimu ya chuo kikuu na changamoto zake. Huyo jirani alipoona hana hoja ya kuchangia kwa vile hajui huko kuna changamoto ziti ndipo akasema lakini yeye hajasoma zaidi ya madrassa.
Maana kila alipokuwa akiulizwa, mfano, ufundihaji wa somo fulani unafanywaje kwenye chuo alichosoma akawa anajikanyagakanyaga tu. Nilitaka kuvunja mbavu ila ikabidi tubadilishe topic na kuleta discussion kuhusu hali ya watu wa kawaida! Pia ilibidi tubadili lugha na msamiati. Upo hapo?
Hitimisho: Sijawahi kuona sehemu za kazi mtu anabaguliwa kwa vile ni Mwislamu ingawa inawezekana Waislamu wanaweza kuwabagua waumini wa dini zingine. Kuhusu idadi ya wabunge wapi ni wengi na wapi ni wachache sijui. Na sijui pia kama wingi wao au uchache wao unatokana na kuwa katika dini fulani zaidi ya uwezo wao na kupendwa na watu wao wanaowachgua.
Nadhani mnahitaji kuondokana na 'inferiority complex' na 'unthinking prejudice'. I've a lot to share in this line but let me stop here.