Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

So what next kama unaona aibu ita polisi wawaue wote waislamu ili mbaki wakristo aagh!

Next endelea kutema chuki zako tuzisikie.
Tumain kinachoniudhi ni namna wanavyobaki kulia lia wakatii fursa zipo sawa kwa wote kujikwamua, mimi na wao tumeenda shule moja ya msingi, na sekondari, mkazo wao ulioanza kuwaporomosha ni mitizamo yakifamilia juu ya elimu, ikawa madrasa na kukaririshaQ uran Tukuf, mmoja wao kati ya ndugu zangu aliwahi hata kushiriki shindano maarufu la usomaji wa Quran miaka ya Tisini, hakupiga hatua, sasa nikikaa nae mpaka leo analia na mfumo wa elimu eti umetubeba Wakristo na kuwaacha Waislamu wakishangaa na kubaki nyuma, jamani hii si haki, amesahau zile harakati za upigaji wake wa madufu kule Tandika, amesahau alivyoutumia ujana wake kumtumikia Mola wake , sasa leo nae analia kua kwakua ni Ustaadhi ndo maana hakufika mbali....
 
Hapo ndipo unapokosea kwakuwa ndugu yako ni mzembe na ni muislamu unafikiri waislamu wote ni wazembe what kind of stupid thinking is this?

Mimi nimesoma madrasa ni ustaadh nimepiga madufu na ninapiga bado na nimesoma hakuna uislamu haufundishi watu kuwa wazembe, kila nikirudi nyumbani naenda madrasa yangu kuonana na walimu na kusoma dini.

Hiyo haiondoi ukweli kwamba kuna systematic unfair goverment system kubagua waislamu na sehemu wanazotoka waislamu kwenye investment has wakati wa mwalimu "Data na tafiti tunazo"

Unaendelea kujidanganya na kupotosha watu kwamba ukimtumikia Mola wako unalost..hapo unapotosha watu na usifikiri kwamba kila ustaadh ni kilaza "get your record right"

Madrasa ni arabic word for shule..sasa unafikiri shule lazima iwe st..acha uzembe wako wa kufikiri na huyo ndugu yako uzembe wake siyo wa ku-generalize kwa waislamu wote

Besides mimi nina wakristo ndugu zangu wanateseka huko vijijini hawajasoma pamoja na kwamba kanisa limewapa fursa kusoma bure sisi wengine hatukutaka kubadili dini tukaamua kutafuta elimu kwa jitahada zetu kuliko kuwa wakatoliki...nao kila nikienda village hawachoki kulialia na kuomba..is that christianity? gosh akili gani unatumia wewe?
 
hata uandike nyaraka mia haisaidii kwa nchi ya tanzania ambayo kusoma tu prescription ya hospital mtu anashindwa itakuwa walaka
 
Mimi nimesoma madrasa ni ustaadh nimepiga madufu na ninapiga bado na nimesoma hakuna uislamu haufundishi watu kuwa wazembe, kila nikirudi nyumbani naenda madrasa yangu kuonana na walimu na kusoma dini.

Hiyo haiondoi ukweli kwamba kuna systematic unfair goverment system kubagua waislamu na sehemu wanazotoka waislamu kwenye investment has wakati wa mwalimu "Data na tafiti tunazo"

Madrasa ni arabic word for shule..sasa unafikiri shule lazima iwe st..acha uzembe wako wa kufikiri na huyo ndugu yako uzembe wake siyo wa ku-generalize kwa waislamu wote

Besides mimi nina wakristo ndugu zangu wanateseka huko vijijini hawajasoma pamoja na kwamba kanisa limewapa fursa kusoma bure sisi wengine hatukutaka kubadili dini tukaamua kutafuta elimu kwa jitahada zetu kuliko kuwa wakatoliki...nao kila nikienda village hawachoki kulialia na kuomba..is that christianity? gosh akili gani unatumia wewe?
Hongera kwa kusoma Madrasa......kwani kinachowafanya wenzako wasitumie Fursa zakujisomea dini sambamba na elimu ya kawaida ninini ?

Acha kulialia, leta hizo data hadharani namna gani Serikali iliwaonea waislamu kwenda shule....waleta dini wenu hawakujenga mashule maeneo ya Kilwa,Rufiji, Mtwara, Tanga na maeneo mengine yenye waislamu wengi kama ZNZ . kwani lazima serikali ikujengee shule na kukuomba ukasome ? ukungu wa kufikiri.
Kujua kua Madrasa maana yake ni shule kwakweli nilikua sijui ila nilikua najua ni vyuo vitoavyo elimu ya dini za Kiislamu. ndo faida ya kuwa member JF ELIMU KWA KWENDA MBELE.

Juu ya Wakristo wakatoliki kutokutumia Fursa hakuwafanyi walie lie kama Waislamu kuwa walitengwa na kunyanyaswa na mfumo, ni ujinga na uoga.

Mimi natumia akili gani eeh yamekua hayo.....elimu haijakusaidia kuelewa namna binadamu anavyofikiri ? kweli kuwa Muislamu ni unyonge na uduni asante Mungu hukuniumba Muislamu, ila nina ndugu waislamu ambao nao nawaulumia sana.

Naona thread hii imekuwa ya kidini zaidi ya siasa, kwanini tusianzishe thread ya IPI DINI BORA? ndugu ya Tumain na wengine baada ya dakika chache nitakuwa nimei-post hiyo thread ili tuwaachie mabingwa wa kuchambua siasa waendelee na thread hii asanteni amani iwe kwenu.
 
Hongera kwa kusoma Madrasa......kwani kinachowafanya wenzako wasitumie Fursa zakujisomea dini sambamba na elimu ya kawaida ninini ?

Acha kulialia, leta hizo data hadharani namna gani Serikali iliwaonea waislamu kwenda shule....waleta dini wenu hawakujenga mashule maeneo ya Kilwa,Rufiji, Mtwara, Tanga na maeneo mengine yenye waislamu wengi kama ZNZ . kwani lazima serikali ikujengee shule na kukuomba ukasome ? ukungu wa kufikiri.
Kujua kua Madrasa maana yake ni shule kwakweli nilikua sijui ila nilikua najua ni vyuo vitoavyo elimu ya dini za Kiislamu. ndo faida ya kuwa member JF ELIMU KWA KWENDA MBELE.

Juu ya Wakristo wakatoliki kutokutumia Fursa hakuwafanyi walie lie kama Waislamu kuwa walitengwa na kunyanyaswa na mfumo, ni ujinga na uoga.

Mimi natumia akili gani eeh yamekua hayo.....elimu haijakusaidia kuelewa namna binadamu anavyofikiri ? kweli kuwa Muislamu ni unyonge na uduni asante Mungu hukuniumba Muislamu, ila nina ndugu waislamu ambao nao nawaulumia sana.

Tatizo lako shule yako haikusaidii kufikiri vizuri ndugu??

Nani analia lia ..mwambie ndugu yako aache kulia kulia aagh!

Oh wewe ndio mbuzi kweli Muislamu ni unyonge ha! upupu huo kuna watu wanyonge na wanaopenda kupendelewa kama wakristo???

Oh ndugu zako waislamu endelea kuwalaumu hainihusu mimi aagh! jinyonge

Nashukuru mimi si mkristo kwakuwa unakuwa huwezi kufikiri ..ukondoo tu..
 
mkuu ukereketwa wako mpaka unaboa, wengine mpaka tunaona aibu msomi unavyo analyse mambo! na kueneza chuku za wazi kabisa.Ukiwa rais wewe unaweza kumpa uongozi mkristo??
 
Mkuu ukereketwa wako unaboa, mpaka unashindwa kuangalia hoja ya aliyetanagulia unaangalia tumain kwasababu ya macho yako ya ubaguzi..lol

Siyo nikiwa rais hata sasa nimeshawapa wakristo wengi zaidi kazi zangu na za serikali kuliko waislamu...

Najibu hoja kutegemeana na mtoa hoja kama anaongea upuuzi kuhusu uislamu simwachi because "I am proud muslim"

Naweza kusema sijawahi kuonea mtu maisha yangu mpaka leo ..haki bin haki. simnyimi haki yake mtu kwasababu ya dini yake. ndio mafundisho ya uislamu

Lakini wapuuzi hapa JF siwaachi..kwasababu wanaongea streotpe za kijinga.
 
Nashukuru mimi si mkristo kwakuwa unakuwa huwezi kufikiri ..ukondoo tu..

Sasa kwa nini hawa watu ambao unasema hawawezi kufikiri na kuwaita kondoo wanakuumiza kichwa hadi kukosa usingizi ? Kwa nini wewe mwenye uwezo wa kufikiri na ujasiri kama simba ubaki unasononeka na kulialia kila kukicha kuwa kondoo wajinga wanapendelewa na huku madaraka mnayo ? Ni kama CCM hivi sasa ianze kulialia kuwa inaonewa na Chadema, kweli hapa wataeleweka ? Haya ni maswali tu - tafakari tafadhali.
 
Sijawahi kukosa usingizi na natumia sehemu ndogo ya ubongo wangu kuongea na hao??

Wewe tafakari hapa JF mlivyojazana watu wasiofikiri kila moja anahangaika na tumain ...kazi kulia lia kila nikitoa comment ..kama wewe unavyolia je wakiongoezeka si mtamwomba mod aweke ban..gosh mijitu iliyozoea kupendelewa ni kero sana

CCM ionewe na chadema ..chadema ipi? oh my god ...mtalia sana, mtatumia sana kopta, mtafukuza ...lakini kama kiongozi wenu ni huyo kilaza mbowe na slaa (ambaye amefanya thesis ya kuongoza kanisa)...

too far from reality..chadema is already a failed..kazi yake inakwisha baada ya uchaguzi..trust me.
 
Baraza la Maaskofu (TEC) limekaa kikao cake cha mwisho Juni 2009. Yaliyojitokeza mule ni pamoja na kumhcagua Askofu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi wa jimbo la Dodoma kuendelea kuwa rais wa TEC kwa miaka mingine mitatu.

Hakuna waraka uliopitishwa na Baraza hilo kwa wakati huo kwani lilikuwa tayari limeshapitisha waraka wake miezi miwili nyuma.

Toka wakati ule Baraza la maaskofu halijakutana isipokuwa wachache wale waliokwenda kwenye Synod kule Vatican mwezi October.

Mwandishi wa waraka feki alishindwa hata kujua ratiba ya shughuli za maaskofu wa Tanzania. Uvivu wake wa kwenda pale Kurasini umesababisha atoe waraka bila kujua kwamba maaskofu wote wak majimboni mwao na nyaraka hutolewa wote wakiwa pale Kurasini au popote wanapokutana kwenye session za Baraza.

Mimi nadhani hawa jamaa hata ujasusi hawaujui. Wanachoweza kukifanya ni kuilipa mabomu basi lakini mbinu zingine hawana uzoefu nazo.

Hivyo msambazao nyaraka jichimbieni shule ya ujasusi miaka mitatu ndipo mje na mbinu mpya na si hizi za kitoto za hpa Tanzania.
 
Ndio wamekutuma leo ..waambie too late janja yenu tumeshaijua..na aibu hii itawakula milele pole.

Hamsafishiki hata kama mkioga na maji ya aina gani?...aibu zenu na uovu wenu ubainika mwataka kuruka uchafu wenu mpeleke kwa wengine kama mlivyozoea... pelekeni aibu zenu vatican na siyo Tanzania tuipendayo..pole mtumishi wa askofu.
 
Siyo nikiwa rais hata sasa nimeshawapa wakristo wengi zaidi kazi zangu na za serikali kuliko waislamu...

thubutu nani akupe ofisi weye unayeporomosha matusi namna hii danganya wengine si humu JF, kuna ma-psychologist wa kusoma tabia ya mtu hata kwa kusoma email zake tu, ethics za mtu mwenye ofisi ya maana utazijua hata kwa maongezi yake, ila nisikukatishe tamaa maana hata vijana wa vijiweni wakiamka asubuhi huwa wanasema naenda ofisini bwana au tuonane ofisini tabia zao na zako hazitofautiani labda ndizo ofisi unazosemea.
 
Sawa.
 
Baraza la Maaskofu (TEC) limekaa kikao cake cha mwisho Juni 2009. Yaliyojitokeza mule ni pamoja na kumhcagua Askofu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi wa jimbo la Dodoma kuendelea kuwa rais wa TEC kwa miaka mingine mitatu.

Hakuna waraka uliopitishwa na Baraza hilo kwa wakati huo kwani lilikuwa tayari limeshapitisha waraka wake miezi miwili nyuma.

Toka wakati ule Baraza la maaskofu halijakutana isipokuwa wachache wale waliokwenda kwenye Synod kule Vatican mwezi October.

Mwandishi wa waraka feki alishindwa hata kujua ratiba ya shughuli za maaskofu wa Tanzania. Uvivu wake wa kwenda pale Kurasini umesababisha atoe waraka bila kujua kwamba maaskofu wote wak majimboni mwao na nyaraka hutolewa wote wakiwa pale Kurasini au popote wanapokutana kwenye session za Baraza.

Mimi nadhani hawa jamaa hata ujasusi hawaujui. Wanachoweza kukifanya ni kuilipa mabomu basi lakini mbinu zingine hawana uzoefu nazo.

Hivyo msambazao nyaraka jichimbieni shule ya ujasusi miaka mitatu ndipo mje na mbinu mpya na si hizi za kitoto za hpa Tanzania.

Hatuwezi kupokea utetezi wako kwa vile huu waraka haukuandikwa jina la mwandishi. Nini maana yake? Ni kuwa kwavile ule wa kwanza ulileta tafrani na badala ya kusaidia lengo ulibackfire, sasa nini utatuzi? Utatuzi ni kutuma ujumbe ufike na huku lawama isirudi tena kwao.

Nakubali kuwa nyinyi ni wajuzi wa ujasusi lakini elimu nyingi huondowa maarifa na maarifa yalikushindeni. Hivyo Waislamu waandike waraka huu kwao itawasaidia nini? Mbona haya yaliyomo ni identical na yale ya waraka original?
Tumejaribu sana kuwaomba wenzetu kuyakana maudhui yaliyomo na sio kuukana waraka tu. Kuukana waraka na huku mnashabikia yaliyomo ni UNAFIKI na mwenye akili hatokubali utetezi wenu.
 
Hongera kwa kusoma Madrasa......kwani kinachowafanya wenzako wasitumie Fursa zakujisomea dini sambamba na elimu ya kawaida ninini ?

Acha kulialia, leta hizo data hadharani namna gani Serikali iliwaonea waislamu kwenda shule....waleta dini wenu hawakujenga mashule maeneo ya Kilwa,Rufiji, Mtwara, Tanga na maeneo mengine yenye waislamu wengi kama ZNZ . kwani lazima serikali ikujengee shule na kukuomba ukasome ? ukungu wa kufikiri.
Kujua kua Madrasa maana yake ni shule kwakweli nilikua sijui ila nilikua najua ni vyuo vitoavyo elimu ya dini za Kiislamu. ndo faida ya kuwa member JF ELIMU KWA KWENDA MBELE.

Juu ya Wakristo wakatoliki kutokutumia Fursa hakuwafanyi walie lie kama Waislamu kuwa walitengwa na kunyanyaswa na mfumo, ni ujinga na uoga.

Mimi natumia akili gani eeh yamekua hayo.....elimu haijakusaidia kuelewa namna binadamu anavyofikiri ? kweli kuwa Muislamu ni unyonge na uduni asante Mungu hukuniumba Muislamu, ila nina ndugu waislamu ambao nao nawaulumia sana.

Sawa Bwana Mkubwa! Lakini usijidanganye kuwa hiyo elimu unayoizungumza kuwa inawasaidia zaidi ya kuwasaidia katika kuwakandamiza hao walioikosa kwa vile walikwenda madrasa,
Msururu wa sehemu unazozitaja kuwa za Waislamu na ziko nyuma kielimu unasahau kuwa kabla ya harakati za Nyerere kudumaza uislamu sehemu hizi ndio zilikuwa zenye maendeleo.
Samahani lakini kama tutaangalia tunaweza kuona kuwa "ustaarabu" unaojivunia unamalizikia kwako na tukivuka kwa wazazi wako ni mbumbumbu. Unaelewa nini maana yake? ni kuwa Nyerere ndie aliekunyanyua na jee wakati huo hao walioleta madrasa bado walikuwepo? Waarabu kama watawala waliondoka zamani sana na walipoondoka waiacha sehemu walizofika zikiwa na maerndeleo kulinganisha na sehemu zenu. Niutawala wa Waingereza kwa kutumia kanisa ndio walioleta mabadiliko haya na wakaweka hali kwamba Muislamu ili apate elimu ya shule basi akubali kuacha dini yake. Hali ilikuwa tofauti na miji ya Kiislamu na huko hata Nyerere aliwekia kambi katika kutafuta uhuru na akiwatumia Waislamu. Baada ya uhuru kwa maagizo ya Kanisa alifanya kila jitihada kuona kuwa Wakristo wanakuja juu na kushika madaraka.
Samahani Bwana lakini unapotukana jaribu kuangalia nyuma jee shuka imefika huko?
 
Hatuwezi kupokea utetezi wako kwa vile huu waraka haukuandikwa jina la mwandishi. Nini maana yake? Ni kuwa kwavile ule wa kwanza ulileta tafrani na badala ya kusaidia lengo ulibackfire, sasa nini utatuzi? Utatuzi ni kutuma ujumbe ufike na huku lawama isirudi tena kwao.

Nakubali kuwa nyinyi ni wajuzi wa ujasusi lakini elimu nyingi huondowa maarifa na maarifa yalikushindeni. Hivyo Waislamu waandike waraka huu kwao itawasaidia nini? Mbona haya yaliyomo ni identical na yale ya waraka original?
Tumejaribu sana kuwaomba wenzetu kuyakana maudhui yaliyomo na sio kuukana waraka tu. Kuukana waraka na huku mnashabikia yaliyomo ni UNAFIKI na mwenye akili hatokubali utetezi wenu.

Naamini kufikiri kwa namna hii ndiko huwa kunaleta matatizo kwenye jamii. Ni tofauti ipi kati ya mawazo yako hayo na kusikia mtu akiita 'mwizi, mwizi' na wewe kuchukua silaha na kumwua anayedhaniwa mwizi na halafu baadaye uambiwe mwizi siyo huyu aliyeuliwa; yeye alikimbia zake ila tu shati lake linayofanana na la huyu isipokuwa sura na suruari zao ni tofauti? Kama huna uhakika (moral certainty) unawezaje ku'judge' kwa uhakika?

Mfano, huwezi kukuta maandishi yanayofanana na mwandiko wangu bila jina langu halafu uanze ku'establish' kuwa una hakika ni mwandiko wangu. Hali kadhalika, mtu hawezi kusoma waraka huo feki (wenye udini na kutaka Wakakoliki wachague Chadema na siyo CCM na CUF) halafu useme ni wa Kanisa Katoliki wakati Kanisa hilo linaundwa na waumini kutoka vyama mbalimbali na wengine hawana chama kabisa.

Na kama ungetoka ndani ya Kanisa hilo kwa vyovyote waumini ambao ni CCM, CUF nk ndio wangekuwa wa kwanza kuupinga. Je, unataka kusema leo hii Wakatoliki wote wameamua kuwa wanachama wa Chadema tu? Kuna kila aina ya ushahidi kuwa huu waraka feki umetungwa ili kueneza chuki za kidini na walioutunga wanajua wanataka nini. Sina imani kama walioutunga wanachembe yoyote ya uadilifu na kama ni waumini wa dini, basi hawafanyi hayo kwa ajili ya Mungu.
 
Sawa Bwana Mkubwa! Lakini usijidanganye kuwa hiyo elimu unayoizungumza kuwa inawasaidia zaidi ya kuwasaidia katika kuwakandamiza hao walioikosa kwa vile walikwenda madrasa,
Msururu wa sehemu unazozitaja kuwa za Waislamu na ziko nyuma kielimu unasahau kuwa kabla ya harakati za Nyerere kudumaza uislamu sehemu hizi ndio zilikuwa zenye maendeleo.
Samahani lakini kama tutaangalia tunaweza kuona kuwa "ustaarabu" unaojivunia unamalizikia kwako na tukivuka kwa wazazi wako ni mbumbumbu. Unaelewa nini maana yake? ni kuwa Nyerere ndie aliekunyanyua na jee wakati huo hao walioleta madrasa bado walikuwepo? Waarabu kama watawala waliondoka zamani sana na walipoondoka waiacha sehemu walizofika zikiwa na maerndeleo kulinganisha na sehemu zenu. Niutawala wa Waingereza kwa kutumia kanisa ndio walioleta mabadiliko haya na wakaweka hali kwamba Muislamu ili apate elimu ya shule basi akubali kuacha dini yake. Hali ilikuwa tofauti na miji ya Kiislamu na huko hata Nyerere aliwekia kambi katika kutafuta uhuru na akiwatumia Waislamu. Baada ya uhuru kwa maagizo ya Kanisa alifanya kila jitihada kuona kuwa Wakristo wanakuja juu na kushika madaraka.
Samahani Bwana lakini unapotukana jaribu kuangalia nyuma jee shuka imefika huko?

Wakati wa Mwalimu Julius Nyerere kulikuwa na 'compulsory primary school education' (kila mtoto - Mkristo au asiwe Mkristo alitakiwa aende shule). Pili, kulikuwa na 'compulsory national service' (kila mhitimu wa elimu ya sekondari alitakiwa aende Jeshi la Kujenga Taifa). Kutoka huko, kila aliyefaulu vizuri aliweza kuendelea chuo kikuu au vyuo vya ufundi au pia kurudi nyumbani kuendelea na ufugaji, kilimo au biashara (kujiajiri).

Mimi nimesoma enzi hizo na dini haikuwa issue hata kidogo. Kama ilitokea Waislamu waliwazuia watoto wao kusoma ni tatizo lao wenyewe. Sehemu (Mtaa) ninakoishi wengi ni Waislamu. Nyumba ninayoishi ina baraza kubwa na watoto wengi wanacheza pale kuanzia saa moja asubuhi hadi saa 5 usiku. Yaani ni kero sana!

Hii inasema kitu gani? Kwamba hawaendi shule! Na wale wanaoenda, wakirudi badala ya kufanya homework, wanaenda madrassa. Hivyo, badala ya kuelekeza nguvu sehemu moja, unakuta watoto hawapati muda mzuri wa kufanya mazoezi ya shuleni. Matokeo yake ni kushindwa kwenye mitihani yao. Je, haya yanafanywa na Wakristo?

Hebu angalia wazazi wa Kikristo wanafanyaje: mtoto anaenda shule, akirudi anasimamiwa afanye homework baada ya kupumzika, akimaliza ndipo anaruhusiwa acheze (na ikiwezekana kama bado hajaelewa vizuri anapelekwa tuition). Kwa hiyo, mwamko wa kusoma uko zaidi kwa watoto kutoka familia za Kikristo au dini zingine kuliko ilivyo kwa watoto kutoka familia za Kiislamu.
 
Kweli hata sisi wa dini zingine tofauti na uislamu au ukristu tumepata somo kwa magobe T hapa......maandalizi ya kizazi kijacho... historia inafundisha kuwa ni kwa kanuni za kawaida za kiutu....unachopanda ndicho utakachovuna....je uko busy na kupanda nini kwa watoto wako...elimu....au udini na visasi...na kujilipua....na umimi....au unaweza kumsomesha maandiko ya kidini peke yake akapata humo humo fizikia, kemia, hisabati!!!???........sisi watoto wa baba mmoja Mwenyezi tujifunze kitu hapa.....wake up!!! its your choice.... unataka longolongo au facts...?????
 
Naamini kufikiri kwa namna hii ndiko huwa kunaleta matatizo kwenye jamii. Ni tofauti ipi kati ya mawazo yako hayo na kusikia mtu akiita 'mwizi, mwizi' na wewe kuchukua silaha na kumwua anayedhaniwa mwizi na halafu baadaye uambiwe mwizi siyo huyu aliyeuliwa; yeye alikimbia zake ila tu shati lake linayofanana na la huyu isipokuwa sura na suruari zao ni tofauti? Kama huna uhakika (moral certainty) unawezaje ku'judge' kwa uhakika?

Mfano, huwezi kukuta maandishi yanayofanana na mwandiko wangu bila jina langu halafu uanze ku'establish' kuwa una hakika ni mwandiko wangu. Hali kadhalika, mtu hawezi kusoma waraka huo feki (wenye udini na kutaka Wakakoliki wachague Chadema na siyo CCM na CUF) halafu useme ni wa Kanisa Katoliki wakati Kanisa hilo linaundwa na waumini kutoka vyama mbalimbali na wengine hawana chama kabisa.

Na kama ungetoka ndani ya Kanisa hilo kwa vyovyote waumini ambao ni CCM, CUF nk ndio wangekuwa wa kwanza kuupinga. Je, unataka kusema leo hii Wakatoliki wote wameamua kuwa wanachama wa Chadema tu? Kuna kila aina ya ushahidi kuwa huu waraka feki umetungwa ili kueneza chuki za kidini na walioutunga wanajua wanataka nini. Sina imani kama walioutunga wanachembe yoyote ya uadilifu na kama ni waumini wa dini, basi hawafanyi hayo kwa ajili ya Mungu.

Hakuna pahala ambapo tutawajumuisha watu wa aina fulani kwa jambo fulani. Na kwa mantiki hiyo hiyo kuna uwezekano wa kkikundi ndani ya kundi fulani kikawa na malemgo yake na hapo unaweza ukapata jawabu kwanini iwe CHADEMA tu, au CCM tu (Isipokuwa CUF kwani ushirikiano wa watu wa kanisa na chama hichi si mzuri).
Naona imechukuwa muda mrefu kwa wewe kukubali kuwa kuna watu waliofanya hivyo kwa faida yao. Imechukuwa muda mrefu kwa wewe kuacha msimamo kuwa huu waraka umeandikwa na Waislamu.
Kwa maslaha ya kujadiliana hebu tuangalie kati ya pande mbili (ukristo na uislamu) upande gani unakuwa na nafasi nzuri ya kuwa wahusika wa huu waraka (tuchukulie ni kikundi ndani ya Waislamu aun Wakristo)?
Huu waraka maudhui yake yanafanana kabisa na ya ule wa mwanzo sasa kwa kuyarudia mauzui hayo nani anafaidika katika vikundi viwili hivi? Naamini wewe ni mtu wa kutafakari fanya hivyo.
Suwala la pili iwapo mtu unakataa kuwa wewe sio ulietowa uchochezi (ingawa pale mwanzo haukuwa uchochezi lakini sasa ni uchochezi kwa vile wewe sio ulioandika) nini wajibu wa kila mtu? Unafikiri kuukataa tu kunatosha?
 
Back
Top Bottom