Warembo kumi wanaofatiliwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki

Namba nne jamani nipeni huyo..
Una ela ya kumlipia tiketi ya ndege go n return, umlipie chumba 5 star hotel n malipo yke mcheki insta huddahthebosslady
 
Wakuu wema labda kwa Tanzania ana trend sana lakini kumbukeni list ni ya East Afrika yote

Mkuu ni East Afrika yote sio Tanzania tu.

Tarime mnamfaham Corazon Hassan mkuu?

Sio East Afrika mkuu

Mmh

Madam wenu yupi uyo mkuu
Haiwezekani...Uganda anakick sababu ya Diamond na Zari,Kenya Ndo Usiseme,Alipata mpaka tunzo ya East African Most Loved Female Socialite
 
Yan hizo sifa ulizotaja hapo juu nitofauti na watu ulio wataja hapo labda kwa mbalii zari Lakin wote hao sifa zao ni picha za uchi tukama gig sasa apo ndio haingii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…