Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,404
Vera ni tatizo zamani nilikua nikitaka kucheka naenda kusoma comment za fans wake nacheka sanahata michael jackson aingii ndani,aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vera ni tatizo zamani nilikua nikitaka kucheka naenda kusoma comment za fans wake nacheka sanahata michael jackson aingii ndani,aisee
Ahahaha,ana akaunti ktk social network ipi!?Vera ni tatizo zamani nilikua nikitaka kucheka naenda kusoma comment za fans wake nacheka sana
Kwa kukaa uchi au kama mtu maarufu?Okay basi iwe ni list ya wakaa uchi sio ya wanaoandikwa sana maana baada ya Oscar Lupita aliandikwa sana
Kama mtu maarufu...Kwa kukaa uchi au kama mtu maarufu?
Mcheki Hapa Katika Short Film ya "THE ROADSIDE"
duh!!! hapo zamani ndo alikuwa mbaya hivo????? hata lemutuz angemkatalia kupiga nae pichaHuyu ni Vera zamani na sasa.....Kenyan wanamdiss sana huyu dada kwa kuukataa Uafrika.....
View attachment 336111
ndio,kama unazo zingine za lupita naomba links nizi downloadImegoma kufunguka mkuu ila ni ile gari lao linapata pancha porini?
uyu katumia maji ya betriHuyu ni Vera zamani na sasa.....Kenyan wanamdiss sana huyu dada kwa kuukataa Uafrika.....
View attachment 336111
Huyu bado ni Verauyu katumia maji ya betri
duh!!! hapo zamani ndo alikuwa mbaya hivo????? hata lemutuz angemkatalia kupiga nae picha
Hapana mkuu hiyo niliiona kwenye Tv Station moja ya huko nyumbani sijawahi kudownload hizondio,kama unazo zingine za lupita naomba links nizi download
Inatagram yupo n dm hanajibu mchekiAhahaha,ana akaunti ktk social network ipi!?
Una ela ya kumlipia tiketi ya ndege go n return, umlipie chumba 5 star hotel n malipo yke mcheki insta huddahthebossladyNamba nne jamani nipeni huyo..
Ilikua facebook kama mwaka juzi hivi..Ahahaha,ana akaunti ktk social network ipi!?
Haiwezekani...Uganda anakick sababu ya Diamond na Zari,Kenya Ndo Usiseme,Alipata mpaka tunzo ya East African Most Loved Female SocialiteWakuu wema labda kwa Tanzania ana trend sana lakini kumbukeni list ni ya East Afrika yote
Mkuu ni East Afrika yote sio Tanzania tu.
Tarime mnamfaham Corazon Hassan mkuu?
Sio East Afrika mkuu
Mmh
Madam wenu yupi uyo mkuu
Okay basi iwe ni list ya wakaa uchi sio ya wanaoandikwa sana maana baada ya Oscar Lupita aliandikwa sana
Kwani kenya maji yalikatika mpk wamdiss? Mwenzao kanywa maji na kafanya zoeziHuyu ni Vera zamani na sasa.....Kenyan wanamdiss sana huyu dada kwa kuukataa Uafrika.....
View attachment 336111