Warembo kumi wanaofatiliwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki

huyo aliyevaa "bikini" ya jezi vipi wajeda hawawezi maindi kuwa kazalilisha vazi lao????
 
Mbona wema hayupo kwani nae haandikwi kwenye vyombo vya habari
 
Nadhani Sepenga anatakiwa kuwa kama Godfather wao, maana ni balaa yule mtoto hakauki hata humu JF
Hahaa!! Wema kukosekana haiingii akilini lakini hawezi kuwa top kama issue ni East Africa!!

Mtu kama Zari na Huddah wanaandikwa sana na nchi zote 3... TZ, KNY na UG wakati Wema anaandikwa sana na Shigongo!!
 
Point
 
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu,Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.

Wimbo uliobora 2:7
 
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu,Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.

Wimbo uliobora 2:7
Sio sehem yake apa mkuu jukwaa la dini lipo
 
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu,Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.

Wimbo uliobora 2:7
Ameeeen!! Hebu niwekee ile Aya ambayo huku kitaa tunaipenda sana pale unapoishiwa sound za kuimbisha-- kuna maneno yasemayo "aombae upewa na abishae ufunguliwa!"
 
Okay basi iwe ni list ya wakaa uchi sio ya wanaoandikwa sana maana baada ya Oscar Lupita aliandikwa sana
Kama mtu maarufu...
Every Socialite ni maarufu in one way or another but sio maarufu wote ni socialites! Kwa mtazamo wangu Lupita isn't socialite but Wema is! Lupita is just a celebrity. Kwanza socialites wote duniani wana sifa moja inayowaunganisha-- ni attention seekers na wapo tayari kufanya lolote ili mradi tu wapate attention hususani za media!

Hata hivyo ukiwaambia wanatafuta attention ya media, majority watakujibu "sitafuti attention za media bali media zinanitafuta mimi!"
 
Huddah kapitwa na masogange. Huyu muandishi hayupo serious [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
BBA ya 2015 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
 
Ahsante
 
Mbona yule Mwenye tako la kwenye magoti hayupo..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…