katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Unamfuatilia mwanamke maisha yake basi ngoja nikuambie wewe ni mtu wa aina gani wewe ni muhaya unajisifu kAma wasukuma na wakurya .Nimefuatilia post zako na kuona nyuzi zako nimeshajua wew ni mtu WA aina gan.
I pray for you
True wanajiona yaani aibu tupuWe uoni wameshaanza kilugha hapa jukwaani? ila wanapenda kujisifia, sasa fuatilia maisha.yake halisi utaachwa mdomo wazi.
Unajishaua jinsia plzSometimes inanibidi aisee.
Watu wanakuwa na chuki za kiboya bila ya sababu ya msingi.
Hajui kwamba hii ni media na watu wengi wanakuchora tu.
Nimekuja kujua sababu ya wahaya wengi kuwadharau watu wa makabila mengine na kuwaona maboya mpaka kuwaita wanyamaanga . Ni tabia za kipumbavu na kuongea bila proof na logic Kwa watu hao na chuki zisizo na maana. Ndo maana unakuta wahaya wengi ( hasa wenye vyeo) hawamachi na waongozwa.
Angalia UDSM,bugando,kairuki,st Mary's nk
Unamfuatilia mwanamke maisha yake basi ngoja nikuambie wewe ni mtu wa aina gani wewe ni muhaya unajisifu kAma wasukuma na wakurya .
Unajiona sana acha hizo tabia uende mbinguni unamuombea nani kwa nani amekufa pita kule kaz mbali na katoto kazuri.
Sawa mamaUnajishaua jinsia plz
kweli nimesoma coment zako zote za juu,.nimegundua hamna kitu kichwani zaidi tu manenomaneo matupu yasiyokuwa na faida hata kwako pia. Nahisi hili watu wengi wamegundua ila kukwambia wanaanzaje sasa?,maana wataambulia za uso kwa matusi na uongouongo husio na fact hata punje moja angalau watu wajifunze basi kutoka kwako.Elimu yako please maana naona kama wewe ni umeishia standard 4 tena kwa bahati sio umekosa hela ila utoro kutokana na umalaya ulikidhiri nanasikia umeanza shule ukiwa mkubw miaka 10 so la nne una miaka 14 naumesha balehe.
Thanx mkuuUkifika bukoba, fanya kama unaenda custom au ulizia Kigango cha Bunena
Hiyo Maruku Beach inasifiwa sana...Kuna kiloyera beach mbele ya gymkhana ni nzuri sana pia nzuri na kwa watoto kuna michezo mbali mbali pia kuna maruku beach nayo nzuri sana
Mkuu hakuna kitu...niamini mimi...wahaya huwa wanawasumbua watu ambao hamjawahi fika bukoba but kama unaijua vizuri bukoba wahaya hawawezi kukusumbuaHiyo Maruku Beach inasifiwa sana...
Ni mwendo wa km ngapi kutoka Bk mjini?
Bukoba kwa sasa ni miongoni mwa mikoa ambayo maambukizi ya ukimwi yapo chini sana boss fuatalia takwimu hata zilizotolewa mwaka huu. Mikoa ambayo usije ukathubutu peku ni njombe, iringa, mbeya.Ukija bukoba usiache kutembea bila kondomu
Ok mkuu kumbe wapo vizuri kwa sasa nilikuwa sijuiBukoba kwa sasa ni miongoni mwa mikoa ambayo maambukizi ya ukimwi yapo chini sana boss fuatalia takwimu hata zilizotolewa mwaka huu. Mikoa ambayo usije ukathubutu peku ni njombe, iringa, mbeya.
Huyu wa chini hamna mtu.. Bisha kapige kavu
Vijiji vyao gani hizo? mtu anapokwambia anaishi kwenye nyumba ya gorofa na ana magari 9 alafu unaenda kwake unakuta anaishi kwenye nyumba ya vyumba vitatu na anamiliki gari moja ya kutembelea ...huyo mtu unamwelewaje?Ulishawahi fika kwenye vijiji vyao?
Mkuuu wajibu kwa ustaarabu ingawa wanakela sana....wavumilie mana sisi tunawaita wanayamaanga tibigila Magezi.
Wanyankore hao ni wahaya wa Uganda ni kabila moja tamaduni moja kila kitu ni same mpaka lughamkuu mi nilimpigia simu mfanyakazi mwenzangu yye ni mlokole alikuja na wife wake wakamchukua yule binti kukaa nae hadi nilivyoondoka ndio wakamrudisha kwao. lakini wenyeji hawakuwa wahaya, wenyeji wangu walikuwa na asili ya Uganda huko kuna kabila wamefanana sana na wahaya kitabia na wanasikilizana sana lakini hawakuwa wahaya
Nke mpunu kawajibu vizuriMkuuu wajibu kwa ustaarabu ingawa wanakela sana....wavumilie mana sisi tunawaita wanayamaanga tibigila Magezi.
Sio kwamba mikoa mingine hakuna washamba,but bukoba wamezidi aiseee...ukabila+ushamba