instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Wasukuma wapo milion 11.Wahaya M8? Na wasukuma watakuwa M ngapi? We nyie ni kama M2.3 hivi
Wahaya milion 8
Wachaga million 7.
Waishio Kagera ndo hao milion tatu. Ndo maana ndo mkoa wa tatu Kwa idadi ya watu na population density tz baada ya dar na mwanza.
Fuatilia takwimu mkuu