katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Mama yangu namjua sina presha huo ndio ukweli nawajua kabisa nanimeishi nao tokea kuzaliww kwangu hadi ukubwani nawajua nyieKama mama yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yangu namjua sina presha huo ndio ukweli nawajua kabisa nanimeishi nao tokea kuzaliww kwangu hadi ukubwani nawajua nyieKama mama yako
Hahaah mkuu punguza jazbaNyie ndo maana mpo wachawi hamfurahii maendeleo ya wengine.
Mtu aliyeona vijiji vya Bukoba na mijumba iliyoko huko hawezi dharau wahaya hata siku moja
Mimi nimeishi nao natena wanapenda hizo ngoma zao ungekuwa jirani ningekuchezea ngoma zao na kuimba nyimbo zao.Kumbuka hata anaekuruhusu kuandika haya ni muhaya!!! Kwa hiyo na yeye ni Malaya???
Mh Maxence Melo njoo ujionee mtu wako huku.
Huwezi conclude tabia za watu wachache Kwa watu wote.kumbuka hata wahaya wanatofautiana tena Sana.Mimi nimeishi nao natena wanapenda hizo ngoma zao ungekuwa jirani ningekuchezea ngoma zao na kuimba nyimbo zao.
Ila kweli hawajatulia jumla .
Mnaakili kweli darasani ila nyie kwa umalaya hatari mtu mjamzito unaliwa kama nini kama huna mtoto ndani na baada hii ni inshu.
Mkuu ukiandika haya unaonekana mjinga na mpumbavu na pia mtu mwenye IQ ndogo.Wamama walikuwa wanawafumania waume zao wengine ni wake zao hadi wanakitana kisu kwa wivu.
Hawa hata hawafichii kuwa ni malaya so msijishaue nitasema hadi nawapi nilikuwa nakaa nao .
So msijibizane na majirani walioshi na makabila ya mawili
Basi twambie umepitiwa na wangapi?Mama yangu namjua sina presha huo ndio ukweli nawajua kabisa nanimeishi nao tokea kuzaliww kwangu hadi ukubwani nawajua nyie
Kwa minaajili ya uzi huu wewe ni mama yangu !!Never, mimi siyo mama yako katu. You have your mother!
Wewe mwenyewe unatoka pande zipi za Tz??Bukoba kuna warembo wazuri sana wenye misambwanda miguu ya bia na figa namba 8.
Wamegawanyika Watusi kwa hapa wanaitwa wanyarwanda pia wapo walio mix Wahaya na Watusi nakutoa watoto wakali.
Pia wapo Wanyakore ambao ni wazuri sana wengi wao ni weusi kwa mbali ni maji ya kunde.
Wahaya pia ni wazuri sana..Bukoba unakuta binti ni beki tatu lakini ni mzuri sana unakuta wengi wanao kuja huku upenda kufukuzia beki tatu kuepuka gharama.
Warembo wa hapa wengi wanapenda kuishi maisha ya kujitegemea hii inatokana wengi wameenda shule asa hawa ambao ni wahaya asilimia mia.
Wengi wanapenda kuolewa na wahaya wenzao hawapendi shida. Wana akili za maisha ni watafutaji wazuri wa hela ukifika Bukoba utakuta biashara kubwa wanamiliki wao.
Wanapenda kuzungumza kihaya hata hawe amesoma vipi au hawe mrembo kiasi gani hii inatokana na wahaya kukipenda kihaya sana.
Wengi wanapenda sana Kampala na shopping nyingi wanapenda kufanyia huko..Kama una swali uliza
Chuki acheni umalaya nyie ni malaya tena ni asili yenu .Mkuu ukiandika haya unaonekana mjinga na mpumbavu na pia mtu mwenye IQ ndogo.
We umeishi na wahaya wote zaidi ya milioni nane? Hata mtu hawezi kukuelewa Kwa unachokiandika.
Unaandika kama mtu mwenye chuki binafsi sio kwa hoja zinazoeleweka
Tuanze na wewe kwanzaBasi twambie umepitiwa na wangapi?
Hakuna asiyependa binamu. Hivi kwa nini huwa mnadhani sisi hatuwezi kuosha macho kwa wanawake wenzetu aisee
Mkuu ukiandika haya unaonekana mjinga na mpumbavu na pia mtu mwenye IQ ndogo.
We umeishi na wahaya wote zaidi ya milioni nane? Hata mtu hawezi kukuelewa Kwa unachokiandika.
Unaandika kama mtu mwenye chuki binafsi sio kwa hoja zinazoeleweka
nilienda kikazi nilitakiwa nikae wiki niliishia kukaa siku 3, kazi ilikuwa ngumu kiasi ila nilikamilisha, siku ya kwanza hotel niliyofikia karibia na kivuko kule kulia kwa barabara kuna club moja hivi wenyeji wangu saa mbili usiku walimtuma binti wa below 20 aje na hotpot la senene na ugali kidogo kaveshwa mavazi ya kitenge yamemkaa vyema, nilimwambia weka hapo wewe nenda nyumbani kapumzike uje asubuhi kutoa vyombo, alinijibu nimeambiwa nisirudi nyumbani mpaka wewe utakapoondoka.. nilichoka sana. ni mji wa kawaida wenyeji ni wakarimu sana
OkChuki acheni umalaya nyie ni malaya tena ni asili yenu .
Mtu mjazimto anagawa kama pipi kijiti au michele ya bure hadi kunasiku kagusiwa mtoto watu wamkimbiza hospitali nakuambiwa ache mastaili ya hovyo ataharibu mtoto.
Namumewe wala hamgusi .
Unakuta mwanaume anawake wengi hadi unaogopa utazania wakala wa mpesa au tigo.
Acheni umalaya jaribuni kutuliza hivyo vikojoleo vyenu.