instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Ingia website ya TripAdvisor utakuta hotel zote za Bukoba.Unajua watanzania bado sijui tatizo letu ni nini,hivi vitu kama hiyo Bunenena Beach,mahoteli au lodges za mikoa au wilaya,mbuga n.k kwanini wamiliki au mamlaka zinazohusika zisifungulie website ili iwe rahisi kuzipata hata kwenye mitandao kabla hata ya kufika eneo husika?unakuta mtu anataka kwenda Lindi inabidi aingie JF kuanza kuulizia hotel au vivutio vya huko! sijui hata tunakwamia wapi...?