Warembo wa Bukoba

Warembo wa Bukoba

Ndugu yangu wahaya sio warembo kihivyo wa kawaida Sana nimeishi kule kwa muda flani yaani mji umepooza mbaya unachangamka kipindi Cha kukamata senene ile jioni unakuta mji mzima unafuka Moshi ndio mbinu yao wanayotumia kuwakamata.jamaa wabinafsi Sana kwenye lugha muda wote wanaongea kikwao yaani nilipataga shida Sana mie nilikuwa Kama zoba unakuta wanapigishana stori then wanalipuka kwa kicheko Basi na Mimi naunganishia kucheka juu kwa juu hata Kama sijaelewa.hapo Sasa Kama walikuwa wananisema Mimi sijui lakini ndio hivyo ukiangalia wanavyoinjoi na hizo stori zao Tena kwa sauti ya juu utafurahi tuu.washamba flani hivi Kuna siku nimeingia mgahawani nimeagiza chakula kilivyoletwa nikamwambia dada naomba na mboga ya majani nashangaa anakuja na senene nilimtoa ndukiii
Haaahaaahaaa daaah[emoji16][emoji16]
 
kumbe ndo maana wewe ni mstaarabu!! kwa sababu umetembea na kuona maisha ya huko wengine!! nikawa najaribu kupiga picha yako mbona upo tofauti na wachangiaji wengine ambao ni wahaya..Wewe ni mkarimu.Big Up
Japo karibia maisha yangu yote nime ishi dar na kidogo mimetembelea baadhi ya mikoa nimejifunza mengi sana dar hili usavive lazima huwe na roho mbaya Moro ni wakalimu sana tatizo sio wapenzi wa kujichanganya na wengine..Bukoba wengi wana penda starehe na maisha mazuri na kuzungumza kihaya full time hawapendi kutumia kiswahili wanakutafsili vingine ata uwe umesoma vipi nchi zote duniani hile mentality ina kuwa ngumu kufutika kwa mgeni akifika bukoba lazima hapate wakati mgumu sana..Kimaisha bukoba sio pabaya msingi wa kuweza kufanikiwa na kusave lazima chakula kiwe available na bei nafuu kwa hilo bukoba ni nafuu sana
 
Nakuja field 3 months
karibu sana!! ukija tutafute tukutembeze!! bukoba nachopenda ni senene, nipo karibu na beach hapa ninapoishi...upepo mzuri wa beach ...naenjoy pia samaki sato na hali ya hewa nzuri sana,,,,
 
Ndugu yangu wahaya sio warembo kihivyo wa kawaida Sana nimeishi kule kwa muda flani yaani mji umepooza mbaya unachangamka kipindi Cha kukamata senene ile jioni unakuta mji mzima unafuka Moshi ndio mbinu yao wanayotumia kuwakamata.jamaa wabinafsi Sana kwenye lugha muda wote wanaongea kikwao yaani nilipataga shida Sana mie nilikuwa Kama zoba unakuta wanapigishana stori then wanalipuka kwa kicheko Basi na Mimi naunganishia kucheka juu kwa juu hata Kama sijaelewa.hapo Sasa Kama walikuwa wananisema Mimi sijui lakini ndio hivyo ukiangalia wanavyoinjoi na hizo stori zao Tena kwa sauti ya juu utafurahi tuu.washamba flani hivi Kuna siku nimeingia mgahawani nimeagiza chakula kilivyoletwa nikamwambia dada naomba na mboga ya majani nashangaa anakuja na senene nilimtoa ndukiii
ha ha ha ha nimegairi siendi tena bukoba
 
Sasa kama wazazi wako hawapendi chini wewe wamekupataje...
Heheheeee nyie vidudu mtu jibuni swali lenu hili

Hapo unakuta dada zenu bikira zote hamna lakini mko hapa mnaharisha tu,,, ma a ma e zenu

Sorry Jmujun
 
Sometimes inanibidi aisee.

Watu wanakuwa na chuki za kiboya bila ya sababu ya msingi.
Hajui kwamba hii ni media na watu wengi wanakuchora tu.

Nimekuja kujua sababu ya wahaya wengi kuwadharau watu wa makabila mengine na kuwaona maboya mpaka kuwaita wanyamaanga . Ni tabia za kipumbavu na kuongea bila proof na logic Kwa watu hao na chuki zisizo na maana. Ndo maana unakuta wahaya wengi ( hasa wenye vyeo) hawamachi na waongozwa.
Angalia UDSM,bugando,kairuki,st Mary's nk
Achana na wapumbavu mdogo wangu wasikukaushe damu
 
Back
Top Bottom