Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Nakuja field 3 monthshahaha usiogope si unakuja na kuondoka tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja field 3 monthshahaha usiogope si unakuja na kuondoka tu!!
Haaahaaahaaa daaah[emoji16][emoji16]Ndugu yangu wahaya sio warembo kihivyo wa kawaida Sana nimeishi kule kwa muda flani yaani mji umepooza mbaya unachangamka kipindi Cha kukamata senene ile jioni unakuta mji mzima unafuka Moshi ndio mbinu yao wanayotumia kuwakamata.jamaa wabinafsi Sana kwenye lugha muda wote wanaongea kikwao yaani nilipataga shida Sana mie nilikuwa Kama zoba unakuta wanapigishana stori then wanalipuka kwa kicheko Basi na Mimi naunganishia kucheka juu kwa juu hata Kama sijaelewa.hapo Sasa Kama walikuwa wananisema Mimi sijui lakini ndio hivyo ukiangalia wanavyoinjoi na hizo stori zao Tena kwa sauti ya juu utafurahi tuu.washamba flani hivi Kuna siku nimeingia mgahawani nimeagiza chakula kilivyoletwa nikamwambia dada naomba na mboga ya majani nashangaa anakuja na senene nilimtoa ndukiii
Japo karibia maisha yangu yote nime ishi dar na kidogo mimetembelea baadhi ya mikoa nimejifunza mengi sana dar hili usavive lazima huwe na roho mbaya Moro ni wakalimu sana tatizo sio wapenzi wa kujichanganya na wengine..Bukoba wengi wana penda starehe na maisha mazuri na kuzungumza kihaya full time hawapendi kutumia kiswahili wanakutafsili vingine ata uwe umesoma vipi nchi zote duniani hile mentality ina kuwa ngumu kufutika kwa mgeni akifika bukoba lazima hapate wakati mgumu sana..Kimaisha bukoba sio pabaya msingi wa kuweza kufanikiwa na kusave lazima chakula kiwe available na bei nafuu kwa hilo bukoba ni nafuu sanakumbe ndo maana wewe ni mstaarabu!! kwa sababu umetembea na kuona maisha ya huko wengine!! nikawa najaribu kupiga picha yako mbona upo tofauti na wachangiaji wengine ambao ni wahaya..Wewe ni mkarimu.Big Up
Mi ntakuwa mjinga bro ngoja nmpigie route yupo amekuja mgeni apa.Mhaya anaitwa Maria(au mkefi).Shida wife inabidi akili ya 4g itumike.unaweza ukaji double impacts[emoji41][emoji41]Wahaya rahisi sana kama hujawahi kula hata mmoja pole
Naona kapeace,umeanza kunena kwa lugha [emoji1][emoji1].Chonka naiwe munywanyi wange okagila omuda gwo kuholola,, egyo nkolya ko gileka ne eilalu lyako
Ataeniquote utumbo ajipange shenzi zenu wote mnaoituita malaya badala mkomeshe umalaya wa waliozaa huko mxiiiiieee
karibu sana!! ukija tutafute tukutembeze!! bukoba nachopenda ni senene, nipo karibu na beach hapa ninapoishi...upepo mzuri wa beach ...naenjoy pia samaki sato na hali ya hewa nzuri sana,,,,Nakuja field 3 months
ha ha ha ha nimegairi siendi tena bukobaNdugu yangu wahaya sio warembo kihivyo wa kawaida Sana nimeishi kule kwa muda flani yaani mji umepooza mbaya unachangamka kipindi Cha kukamata senene ile jioni unakuta mji mzima unafuka Moshi ndio mbinu yao wanayotumia kuwakamata.jamaa wabinafsi Sana kwenye lugha muda wote wanaongea kikwao yaani nilipataga shida Sana mie nilikuwa Kama zoba unakuta wanapigishana stori then wanalipuka kwa kicheko Basi na Mimi naunganishia kucheka juu kwa juu hata Kama sijaelewa.hapo Sasa Kama walikuwa wananisema Mimi sijui lakini ndio hivyo ukiangalia wanavyoinjoi na hizo stori zao Tena kwa sauti ya juu utafurahi tuu.washamba flani hivi Kuna siku nimeingia mgahawani nimeagiza chakula kilivyoletwa nikamwambia dada naomba na mboga ya majani nashangaa anakuja na senene nilimtoa ndukiii
We acha ndugu yangu kule unakuta vitanda vingi huku kwenye lodge wameweka nailoni kwa chini nilivyouliza tatizo Nini nikaambiwa maji ya bukoba!ha ha ha ha nimegairi siendi tena bukoba
ha ha ha ha haWe acha ndugu yangu kule unakuta vitanda vingi huku kwenye lodge wameweka nailoni kwa chini nilivyouliza tatizo Nini nikaambiwa maji ya bukoba!
Huo ndio uzuriWe acha ndugu yangu kule unakuta vitanda vingi huku kwenye lodge wameweka nailoni kwa chini nilivyouliza tatizo Nini nikaambiwa maji ya bukoba!
Njoo ndugu ule mema ya nchiha ha ha ha nimegairi siendi tena bukoba
Mi ntakuwa mjinga bro ngoja nmpigie route yupo amekuja mgeni apa.Mhaya anaitwa Maria(au mkefi).Shida wife inabidi akili ya 4g itumike.unaweza ukaji double impacts[emoji41][emoji41]
hakuna mema huko mkuu,ni senene tuNjoo ndugu ule mema ya nchi
Heheheeee nyie vidudu mtu jibuni swali lenu hiliSasa kama wazazi wako hawapendi chini wewe wamekupataje...
Achana na wapumbavu mdogo wangu wasikukaushe damuSometimes inanibidi aisee.
Watu wanakuwa na chuki za kiboya bila ya sababu ya msingi.
Hajui kwamba hii ni media na watu wengi wanakuchora tu.
Nimekuja kujua sababu ya wahaya wengi kuwadharau watu wa makabila mengine na kuwaona maboya mpaka kuwaita wanyamaanga . Ni tabia za kipumbavu na kuongea bila proof na logic Kwa watu hao na chuki zisizo na maana. Ndo maana unakuta wahaya wengi ( hasa wenye vyeo) hawamachi na waongozwa.
Angalia UDSM,bugando,kairuki,st Mary's nk
Kuna vinuka mkojo 'vinanichokodha'Kumbe ni wakule kibeta, rwamishenye,
ndio mana huwa una maakili mingi mungi
Relax; nani anakuchokoza
Kuna watu ni mambumbu kujipitisha pitisha tuNaona kapeace,umeanza kunena kwa lugha [emoji1][emoji1].