Leon jeaph
Member
- Mar 9, 2019
- 88
- 82
Napenda sana mademu wanao mwaga maji....inbox plz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha si marahisi kiivyo ndugu 😂 😂 😂Napenda sana mademu wanao mwaga maji....inbox plz
Nipo huku kikazi..siku hizi kule hakufai..sio bichi tena!! Wahaya wana ukabila sana + roho mbaya hawa jamaa..Tupo huku tunaishi kigumu sana na hawa jamaaHiyo Bunena Beach unapitia njia gani, next month naexpect kwenda huko kikazi
Upo sahihi nipo na wahaya huku...aseeh demu wa kihaya akikukatalia kajiulize mara mbili mbili!! wanapenda sana kupigana mitiUbaya ni huu unahasira mama yangu alikuwa mlokole babu yangu akamtafutia mume yeye hakuwahi kuliwa kama wewe ni amekutwa sild na kuonekana kwao kuwa wanaheshima sio hao dada zako na mama?yako ambao wanajiuza hadi kwa wazungu kisa wanatest ladha acheni umalaya mmezidi nani asili yenu nyie ni malaya mliolaaniwa maana nihadi leo mnajiachia na mnaliwa liwa ovyo kama chipsi za mgosi sijui kinacho wawasha nini hamtulii
mkuu usitake kumjaji mtu kwa post zake!! hizo ni mtu anapost anavojisikia...!! wengine wapo au tupo smart lakin tunapost chochote integemea na mudi yako!! mimi nipo kwenu uhayani huku naishi Kashura kama unapajua..!! punguzeni ukabila na roho mbaya nyinyi jamaa..mimi huku huwezi kuamini marafiki zangu ambao nakaa nao na kupiga nao story 99% ni wakuja...!! wahaya wamejaaa majungu, roho ya korosho..hawa jamaa sijui ni kizazi kipi cha watanzania.Nimetembea mikoa kadhaa Tanzania ila nyinyi ni funga kazikweli nimesoma coment zako zote za juu,.nimegundua hamna kitu kichwani zaidi tu manenomaneo matupu yasiyokuwa na faida hata kwako pia. Nahisi hili watu wengi wamegundua ila kukwambia wanaanzaje sasa?,maana wataambulia za uso kwa matusi na uongouongo husio na fact hata punje moja angalau watu wajifunze basi kutoka kwako.
Punguza chukiNipo huku kikazi..siku hizi kule hakufai..sio bichi tena!! Wahaya wana ukabila sana + roho mbaya hawa jamaa..Tupo huku tunaishi kigumu sana na hawa jamaa
Nilicho gundua una chuki na kuna rafiki yako muhaya kakupita maisha kama mtu ambaye sio mlemavu una muita mbaya mlemavu ndio utamuandikia bango kabisaTrue yaani meusi mkaa afadhali unamatumizi.
Punguza chuki
Hapana wewe umefikili ndivyo sivyo bukoba ni manispaa kama manispaa nyingine nimeleta huu uzi kulingana ninavyo waona warembo wa hapa kama uzuri wa mji ni mzuri kiasi tatizo letu WaTz ukienda popote pale unataka kulinganisha na dar hilo ni kosa me nipo Bukoba nimeona beach nzuri kiroyela na maruku sehemu za starehe zipo nyingi vyakula ni vingi mboga sio tatizo..Warembo wapo wazuri ni wewe ni kuchagua ukitaka mtusi unapata..roho mbaya inategemeana na mtu halafu jifunze kitu kuna sehemu ukienda ambapo kabila moja limetawala utakuta wanaendeleza mambo yao lugha na tamaduni zao nilienda kisaki morogoro nilipata shida sana wapo full na tamaduni zao lakini badae nikazoea tofauti na dar nyote mnapiga kiswahiliNop sio chuki!! naona unataka tuwape sifa ...
Hizi hapa,
Wahaya ni wastaarabu sana kuliko makabila yote tz, Mji wa bukoba ni.mzuri sana, e.t.c...mimi ninachofaidi huku ni kwenda mara kwa mara Kampala uganda kwenda kutembea na kucheki viuno wa totoz za kiganda....
mkuu bukoba una muda gani?Hapana wewe umefikili ndivyo sivyo bukoba ni manispaa kama manispaa nyingine nimeleta huu uzi kulingana ninavyo waona warembo wa hapa kama uzuri wa mji ni mzuri kiasi tatizo letu WaTz ukienda popote pale unataka kulinganisha na dar hilo ni kosa me nipo Bukoba nimeona beach nzuri kiroyela na maruku sehemu za starehe zipo nyingi vyakula ni vingi mboga sio tatizo..Warembo wapo wazuri ni wewe ni kuchagua ukitaka mtusi unapata..roho mbaya inategemeana na mtu halafu jifunze kitu kuna sehemu ukienda ambapo kabila moja limetawala utakuta wanaendeleza mambo yao lugha na tamaduni zao nilienda kisaki morogoro nilipata shida sana wapo full na tamaduni zao lakini badae nikazoea tofauti na dar nyote mnapiga kiswahili
Usinambie??[emoji849]Nipo huku kikazi..siku hizi kule hakufai..sio bichi tena!! Wahaya wana ukabila sana + roho mbaya hawa jamaa..Tupo huku tunaishi kigumu sana na hawa jamaa
Nimezaliwa hapa ila niliondoka nikiwa la tano kipindi cha mkapa nimerudi hapa nina kama miaka 2 kuna kazi nafanya ni mwenyeji wa kutoshamkuu bukoba una muda gani?
karibu ukija utajifunza kituUsinambiwie??[emoji849]
Shida hasa ni nini mkuu?
Umenitisha mkuu[emoji2958][emoji2958]mkuu usitake kumjaji mtu kwa post zake!! hizo ni mtu anapost anavojisikia...!! wengine wapo au tupo smart lakin tunapost chochote integemea na mudi yako!! mimi nipo kwenu uhayani huku naishi Kashura kama unapajua..!! punguzeni ukabila na roho mbaya nyinyi jamaa..mimi huku huwezi kuamini marafiki zangu ambao nakaa nao na kupiga nao story 99% ni wakuja...!! wahaya wamejaaa majungu, roho ya korosho..hawa jamaa sijui ni kizazi kipi cha watanzania.Nimetembea mikoa kadhaa Tanzania ila nyinyi ni funga kazi
kumbe ndo maana wewe ni mstaarabu!! kwa sababu umetembea na kuona maisha ya huko wengine!! nikawa najaribu kupiga picha yako mbona upo tofauti na wachangiaji wengine ambao ni wahaya..Wewe ni mkarimu.Big UpNimezaliwa hapa ila niliondoka nikiwa la tano kipindi cha mkapa nimerudi hapa nina kama miaka 2 kuna kazi nafanya ni mwenyeji wa kutosha
hahahhaaha..kawaida tuUmenitisha mkuu[emoji2958][emoji2958]
hahaha usiogope si unakuja na kuondoka tu!!Mmh
Next month hiyo natia timu
Sasa kama wazazi wako hawapendi chini wewe wamekupataje...Ndiko kwenye UKIMWI ulitokea nchi hii..kwa kupenda chini hawajambo
Povu ruksa
Ndugu yangu wahaya sio warembo kihivyo wa kawaida Sana nimeishi kule kwa muda flani yaani mji umepooza mbaya unachangamka kipindi Cha kukamata senene ile jioni unakuta mji mzima unafuka Moshi ndio mbinu yao wanayotumia kuwakamata.jamaa wabinafsi Sana kwenye lugha muda wote wanaongea kikwao yaani nilipataga shida Sana mie nilikuwa Kama zoba unakuta wanapigishana stori then wanalipuka kwa kicheko Basi na Mimi naunganishia kucheka juu kwa juu hata Kama sijaelewa.hapo Sasa Kama walikuwa wananisema Mimi sijui lakini ndio hivyo ukiangalia wanavyoinjoi na hizo stori zao Tena kwa sauti ya juu utafurahi tuu.washamba flani hivi Kuna siku nimeingia mgahawani nimeagiza chakula kilivyoletwa nikamwambia dada naomba na mboga ya majani nashangaa anakuja na senene nilimtoa ndukiiiNitakuja bukoba siku moja nishuhudie