Warembo wa JF msichukulie poa nyuzi mnazoanzishiwa wengine tuko seriously

Warembo wa JF msichukulie poa nyuzi mnazoanzishiwa wengine tuko seriously

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Nashqngazwa na hawa warembo wa Jf, wanamashauzi kinoma ujue mpaka mtu amekufungulia ni kwamba kavutiwa kutoka moyoni kwasababu "The true love come from unknown" Ebu fikiria yaani Jf yote hii mtu kakuchagua wewe tu huoni hiyo ni bahati ya mtende. Sasa basi kuanzia leo tukiwaandikia nyuzi hapa mtupe attention basi siyo unaandika uzi unakosa wachangiaji kijana wa watu anaamua kuhamia kwingine napo anakula za uso
 
Hao unaowaita Warembo una uhakika ni Warembo kweli??!! Usijekuwa umefungulia uzi kidume mwenzio na sharubu zake mwisho wa siku ukaishia kutafunwa ama kuchunwa na dume jenzio.

BTW unatafuta attention mitandaoni, uko sawa kweli upstairs?? Mwanaume unatafuta attention?? Kipa katoka nini mwanetu??!.
 
Mimi na Seran mpaka kiama kubabake 😀
Screenshot_20260722-052533~2.jpg
 
Hao unaowaita Warembo una uhakika ni Warembo kweli??!! Usijekuwa umefungulia uzi kidume mwenzio na sharubu zake mwisho wa siku ukaishia kutafunwa ama kuchunwa na dume jenzio.

BTW unatafuta attention mitandaoni, uko sawa kweli upstairs?? Mwanaume unatafuta attention?? Kipa katoka nini mwanetu??!.
Alpha na Luna zinajuana hata kimafekeche
 
Sasa mkuu unavutiwa na IDs usiyoijua kinagaubaga mwisho wa siku unakuta unazimikia visivyozimikiwa, kuwa makini unawezakuta unachat na mama mdogo au mjomba bila kujijua, hizi ni anonymous ids you never know
 
Back
Top Bottom