Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Alpha na Luna zinajuana hata kimafekecheHao unaowaita Warembo una uhakika ni Warembo kweli??!! Usijekuwa umefungulia uzi kidume mwenzio na sharubu zake mwisho wa siku ukaishia kutafunwa ama kuchunwa na dume jenzio.
BTW unatafuta attention mitandaoni, uko sawa kweli upstairs?? Mwanaume unatafuta attention?? Kipa katoka nini mwanetu??!.
😂😂😂
Yan ni bampa to bampa😊
Mpaka uachike huko sio😅Yan ni bampa to bampa😊
Wapi hukoMpaka uachike huko sio😅
Oh kumbe ni mimi na wewe tu sio🤸🏽♂️Wapi huko
Sasa jeOh kumbe ni mimi na wewe tu sio🤸🏽♂️
Huoni husikii😃Sasa je
Si unajua vile nikufa kwako sio wala siskii😊
Kama hivi LamamaHuoni husikii😃
Aww hapa kweli tutafika mbali😊Kama hivi LamamaView attachment 3644279