Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Hivi mabeki hawanaga mvuto kwa warembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let it go...Kumbe ulikua unajua kama mimi limbukeni ulikua na haja gani kupoteza mda wako kuni quote???
Rafiki Una tamaa na vitu vizuri ndiyo maana huwa unaishia kuumizwa wewe!![emoji30][emoji30][emoji30]mimi neymar...lingard...[emoji7][emoji39]...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.Basi upo vizuri dada!
Wanapenda wanaofunga mabao[emoji16]Hivi mabeki hawanaga mvuto kwa warembo
kuumizwa bado sana....nkiumizwa ntaacha kupenda vtu vizuri[emoji39]....Rafiki Una tamaa na vitu vizuri ndiyo maana huwa unaishia kuumizwa wewe!![emoji30][emoji30][emoji30]
Juzijuzi tu hapa uliumizwa sasa hivi umeshasahau jamani??!kuumizwa bado sana....nkiumizwa ntaacha kupenda vtu vizuri[emoji39]....
dada huu ufatiliaji wako huu umenitisha!Mie alinifaa LUKAKU hasa kwenye ile mechi ya raundi ya 16 bora dhidi ya Japan hasa pale alipoachia mpira upite kisha kumuacha CHADLI afunge bao la tatu na la ushindi dakika za mwisho mwisho.
Mbappe mnampendea nini kwani? hahahaMbappe, Lukaku and Modric( He was very humble guy)
acha kabisa, yani mbappe amekuwa popular ghafla tuMitandaoni huko Kila mwanadada anampenda mbappe!
Angekuwa bongo mngekuwa msha mpwelepweta mtoto wa watu
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndo utawajua Jf members wanaojifanya wanawake kumbe madume
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] hii game nilifuatilia mwanzo hadi mwisho na nilikuwa upande wa Belgium.dada huu ufatiliaji wako huu umenitisha!
hahaha ngoja niishie hapa kama Genta, maana mdomo wangu umebaki wazi kama Ushimen. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] hii game nilifuatilia mwanzo hadi mwisho na nilikuwa upande wa Belgium.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Kakaaa. Lol.hahaha ngoja niishie hapa kama Genta, maana mdomo wangu umebaki wazi kama Ushimen. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
Mimi napenda mpira anaocheza. Zile mbio sasa[emoji108][emoji108]Mbappe mnampendea nini kwani? hahaha
yule asiejua kulenga vzuri ee?Kuna yule mchezai wa ufaransa..Jaman ana macho mzuriii. .anaitwa ground sijui gloud! !
acha bwana!!! [emoji3][emoji3]Mimi napenda mpira anaocheza. Zile mbio sasa[emoji108][emoji108]