hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Nilicho jifunza hapa wewe unapenda wanaume wafupi, nishajua mshana Jr ni mfupi
[emoji3][emoji3][emoji3] utamuweza yule,Mbappe hubby
Marahaba jamaani.Kwemaaa twafaaa na baridii dada love uuu miss uuuu
Shikamoooo
acha bwana! [emoji3][emoji3]Handsome jaman[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
alijitahidi sana...amedaka vizuri mechi zote,Mimi kwenye kombe la dunia nilivutiwa na mchezaji JUMA NYOSO alivyokuwa anaupiga mpira pale Urusi
acha bwana! [emoji3][emoji3]
Kaka hili neno kila nikiliona najikuta nacheka tu.acha bwana!!! [emoji3][emoji3]
Pole jamaani mdogo wangu. Nimefurahi kukuona mwaya.Na hivi saiv hakuna kuhama kirahis naumia moyooo
hhahahah, hata lile ule mpira waliopiga Koreshia aliukwepesha kwa ufundi sana. hahahahahahahaalijitahidi sana...amedaka vizuri mechi zote,
Hahaha nipo hapa nimejaa tele.Oooh mbappe