Warembo wa JF

Jifukize tu kutwa mara tatu kwa kutumia majani ya maboga baada ya wiki utaona tofauti kubwa 😜😜😜
Inabidi nifanye hivo ili kuondoa hii gundu.
 
Reactions: BAK
Hivi kweli kwa akili zako umpige sound Hannah kwa michapio ya herufi, makopa kopa na huu mtongozo wa kindergarten seriously???

Heshimuni wakubwa zenu basii.! πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Wewe tuu? Mimi nataka wengi.
Wawe wananisumbua sumbua Hannah napenda michango yako. Ili na wewe uone wivu unipende.
Nimefura hapa balaa. Umechelewa sana kujibu reply yangu. Au ndio ulikuwa busy huko PM?
(Wivu sina ila roho inauma)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…