Warembo wa JF...

hajui balaa la chunusi huyu. Kuna watu wanahaha nazo
Chunusi sio ugonjwa.

Kuna aina mbili za ngozi:
Ngozi kavu na
Ngozi yenye mafuta.

Sasa wewe kama ngozi yako ina mafuta ya asili na bado unapaka mafuta mengine na lotion tena na Glycerine juu lazima ngozi ishindwe kupumua hivyo kusababisha chunusi.

Wenye CHUNUSI wapake mafuta kidogo sana pia kwenye lotion wasiweke Glycerine. Wakipata zile lotiona za LEMON ni nzuri sana kwa ngozi zao.
Usiku wanapoenda kulala waoshe uso na sabuni wasuuze vizuri wasipake kitu chochote walale hivyo hivyo. Baada ya wiki hutaona chunusi hata moja.
 
labda ni tofauti

uso wangu ni wamafuta kuna wakati nilipata chunusi
nikashauriwa nipake mafuta

kwa sababu uso ukikosa mafuta unajitengenezea mafuta na kufanya chunusi
kwa sasa my skin is glowing
 
labda ni tofauti

uso wangu ni wamafuta kuna wakati nilipata chunusi
nikashauriwa nipake mafuta

kwa sababu uso ukikosa mafuta unajitengenezea mafuta na kufanya chunusi
kwa sasa my skin is glowing
Ukiwa na mafuta kwenye ngozi ukipaka tena mafuta mazito vile vitundu vinaziba ndio vinatengeneza CHUNUSI. Ndio maana nimesema chunusi sio ugonjwa ni watu tu tunaziba vile vitundu vya ngozi kupumua.
 
M nakwambia wapo ambao zimegoma
 
ohoo hapa inachanganya mafile

simbilisi nilimwona iringa ni kama panya ila mkubwa!
Simbilisi kuna mtu alinikamatia nikabebe kasweet. Nilitamani kukafuga kama pet.
 
Chunusi aisee ni unpredictable.

Ukitulia home huna hili ama lile uso unakuwa very smooth.

Ngoja uwe na mtoko. Lol
Bwana we au sa nyingine zinatokea ukiingia mwezini tu, na ndo ukakutana na mwana jf hapo juu
 
haaaa unapenda pets?

mimi hapana sipendi mnyama asiyelika
Sanaaaaaaaa.

Dogs sanaaa.

Cats nilipunguza mapenzi manake wakifa naumia sanaaa.

Ila nikipata kazuri kenye manyoa nitafuta home.
 
Sanaaaaaaaa.

Dogs sanaaa.

Cats nilipunguza mapenzi manake wakifa naumia sanaaa.

Ila nikipata kazuri kenye manyoa nitafuta home.
nilikuwa na paka wangu alikufa nililia siku mbili. Toka hapo sipend kufuga paka tena, akifa anaumiza mno!
 
Na hizi chunusi za wazi nilizonazo kama fenesi aah hapana sitaki[emoji3] huyu mleta uzi kawaponza wengine hata wenye nia njema
Mimi siyo km mleta mada..km nilikuahidi sitakutupa kwenye kulimwaga kitandani,chunusi haziwezi kuwa barrier baina yetu.Nitaishi nazo Tu kiroho safi
 
Umesomea vizuri Mkuu.

We need some of our JF men to change the perceptions of these younger men.

Msiwakatie tamaa.

Guide them.
Watu kama hao ni utoto tu ndio unakuwa unawasumbua na anashindwa kujua romance ni zaidi ya sex na show-offs za Facebook na Instagram.

Kwenye mapenzi kuna kuumwa seriously, ulemavu, kuna kukaa na watoto wa shemeji zako, kusulihuisha ndoa za ndugu na marafiki na changamoto nyingine nyiiiiingi sana.

Kwenye mapenzi kuna muda wa furaha na karaha, sasa watoto wadogo wanawaza furaha na kula bata tu ndio kinachowasumbua.

Mimi bado sijaoa lakini nimeshika pesa ndefu na pia nimekula sana msoto. Hivyo najua pande zote za maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…