SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Chunusi sio ugonjwa.hajui balaa la chunusi huyu. Kuna watu wanahaha nazo
Kuna aina mbili za ngozi:
Ngozi kavu na
Ngozi yenye mafuta.
Sasa wewe kama ngozi yako ina mafuta ya asili na bado unapaka mafuta mengine na lotion tena na Glycerine juu lazima ngozi ishindwe kupumua hivyo kusababisha chunusi.
Wenye CHUNUSI wapake mafuta kidogo sana pia kwenye lotion wasiweke Glycerine. Wakipata zile lotiona za LEMON ni nzuri sana kwa ngozi zao.
Usiku wanapoenda kulala waoshe uso na sabuni wasuuze vizuri wasipake kitu chochote walale hivyo hivyo. Baada ya wiki hutaona chunusi hata moja.