Warembo wa JF...

Warembo wa JF...

Mkuu umri wako nahisi Bado unaruhusu kuandika hivi.
Yaani kwamba Bado u-kijana asa ulitegemea utakutana na wale mnaita slay qeen sijui mavitu gani.

Nakuthibitishia humu kuna wanawake na wasichana wanaoeleweka wazuri wanajiheshimu.

Na tumeshakutana nao.kingine mwandiko tu mbona unajulisha huyu mtu yupo.
 
Unaweza ambiwa jina na wewe hamuendani, toa hiyo Gent weka mchimba chumvi.

Ila inshu za kufunguliana thredi siyo kabisa, Yaani unapanga kabisa kesho nafungua thredi special kwa... dah!

Halafu huyu bibie akikataa tusionane, mtoa mada utakuwa umechangia 99%
 
Ulete mrejesho
 
Kwanin utumie id nyingine kusema mapungufu ya wengine
Maana yake hujiamin na wew una mapungufu
Ungetumia id yako halisi wapate kukuchambua punguza umbea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo huyu bwege kaenda kutongoza kule jukwaa la siasa. Watu wanabishana na kina Lissu unategemea watakuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mungu wangu!! Wee mbavu sio zangu khaaaah.
 
Back
Top Bottom