BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Mkuu umri wako nahisi Bado unaruhusu kuandika hivi.
Yaani kwamba Bado u-kijana asa ulitegemea utakutana na wale mnaita slay qeen sijui mavitu gani.
Nakuthibitishia humu kuna wanawake na wasichana wanaoeleweka wazuri wanajiheshimu.
Na tumeshakutana nao.kingine mwandiko tu mbona unajulisha huyu mtu yupo.