Warembo wa kiarabu wa Tabora

Duuh sasa hii balaaa kama anaweza kukugeuza msukulee basiii bhnaaa nilitamn inabd ugegedane na wabongo wezako au wanarogajee hv
 
Wemuongo mbona tunawala sana hadi kiwazalisha tena wako vizuri mno hasahasa wale wa africast.
 
Kuwa makini Sana wengi wanakupa kesi ya magumashi

Inakuwa hivi ukimpata mkisha Banjuka atakuambia mrudie siku nyingine.

Ndipo anapowapanga watu waje hapo gest kuuliza kwamba wanamtafuta mke wa mtu na wanahisi kalala hapo ndipo wanaanza chumba kimoja hadi kingine kusachi endapo wakikuta kinachofuata........

Huo mchezo tabora upo Sana

Take care [emoji125]
 
Tabora lazima nifike nami nionje arabian skin izo
 
Itabidi nikapande mbegu huko... Mambo ya diversity kwenye familia.
 
Tabora kuna watoto wakali acha nlikua huko 2013 kikazi kwa miezi 5 nli enjoy sana hasa viwanja vya freckman, Ziro, na Mziki wa 101 uhazili nlikula raha kuliko Jijini

viwanja vyangu ivo mkuu,maisha ya tabora very cheap
 
Wazuri kwelikweli ila sasa elimu ndio sifuri, mtaji pekee walionao ni uzuri wao na Limbwata! take care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…