Warembo wa kiarabu wa Tabora

Hatimaye nimeshawishika fikra zangu kuzituma pia tabora.
 
kweli we ni mwenyeji, umetaja hii mitaa nimekumbuka enzi za 90s
 
Sasa hv mkuu hzo Frankman, club zero na 101 zishakuwa za zamani, kuna sehemu mpya kama Oxygen, Shimoni, Whatsapp club ambapo watoto wa uhazili wote wanakimbilia huko sasa hivi, tatizo wanapenda kuroga
niliwahi fika shomoni ni padogo sana, pamebanana mno, oxygen hapa nakubaliana na wewe, asikose kwenda pale triple P akale abuja
 
Ni nnae mmoja toka mwaka 2004 huko huko Kwa ROSTAM hakika nafaidi uongo Zambia kaka mkubw we njoo tu tuwe wote ni kwetu tanga lakin aaa! Alahaamdu lilai,
 
Unaonekana utahamia huko ondoka umeaga Kilimanjaro. .hapana chezea mboka manyema
 
Nashawishika kwenda nami tabora nikaonje papuchi za huko...cjawahi kula papuchi ya mchawi
 
Km hiyo biashara yako nenda Tabora kafanye biashara sambamba na kutafuta waarabu lkn km biashara ya mtu mwingine acha hayo mambo mwenyewe atakufi*ra coz hapo hamna biashara,hapo unaenda kula mtaji tu,boy
Na watu hawalagi mtaji wanakulaga faida
Nazan utakua ushakula ban
 
Aaaaaaaah kama kuna wachawi nakuja fungua church hukooooo tunapiiiiiiiiiga hayo mapepo
 
Hao ni machotara wa kiarabu,sio waarabu,muarabu,mama mnyamwezi au baba au bibi au babu wote wanyamwezi.
 
Kule ndiko wanakosimamisha miti iliyokatwa kaka..... Iruwa mbe hautarudi nyumban salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…