Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nimejaribu kuzunguka mtaa kwa mtaa, zaidi ya miezi 3, ili nipate mchepuko wa kiarabu; lakini bado sijafanikiwa.

Naimani, nikipata mrembo wa umbo namba 8, wa Kiarabu; akili yangu itatulia na kufanya mambo mengi ya msingi.

Wakuu, wanapatikana wapi hawa warembo wa Kiarabu?
 
Nenda Egypt
 
Mkuu kichwa cha chini/hakijawahi kushukuru wala kuridhika.
Ukimalizana mwarabu utatamani muhindi, mzungu.
Mwisho utarudi kwa akina chausiku.
Hebu kuwa mwanamme na utulizane na mama chanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…