Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo wa kwanza alikuwa Mlimani tv. Kifaa kweli kweli halafu kidogo kapanda hewani.
Mungu [emoji62] kwa weli
Ndiyo Huyo Picture Ya KwanzaElizabeth mramba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]We jamaa acha uchokoziWeka Na Warembo Kama Anna Mwasyoke Na Jen John
Ni mtoto wa waziri mstaafu mramba?Mramba katoka mlimani TV?
Hivi mlimani TV bado ipo?
Kumbe! Nani Kati yao?Mmoja hapo ni mke wa Lili Ommy
Hapo lily ommy kaboronga Bora angeoa kifaa hicho Cha kwanza ndio ingekuwa poa.Huyo wa chini aliyevaa ushungi
Duh hiko cha kwanza ni kisuSiku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816
Hivi sheria inasemaje kuhusu kuweka picha ya mtu mtandaoni bila ridhaa yake na kuanza kufanya discussion kuhusu personal matters dhidi yake.Siku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816
Sawa. Tunaomba majina ya vitabu alivyoandika tafadhali ili tuweze kuvifuatiliaNi bahati nzuri kwamba niliwahi kufanya kazi na hawa watoto wote wawili watoto watulivu sana hao na wote ni wake za watu na wana watoto kadhaa...Eliza ni mdada mpole msomi wa masters na Shamimu nae ni msomi wote wawili wamefanya kazi Mlimani Media wakati huo,Eliza alikuwa akifanya kipindi cha Afya,Shamimu alikuwa Mlimani Redio na akina Gervas et al ni watulivu sana hawa wadada na they're beautiful pia kichwani zimo. Safi sana wadada wa nguvu. Huyo Eliza ni mwandishi wa vitabu pia. Mnunue sio kumsifu tu.