Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Ni bahati nzuri kwamba niliwahi kufanya kazi na hawa watoto wote wawili watoto watulivu sana hao na wote ni wake za watu na wana watoto kadhaa...Eliza ni mdada mpole msomi wa masters na Shamimu nae ni msomi wote wawili wamefanya kazi Mlimani Media wakati huo,Eliza alikuwa akifanya kipindi cha Afya,Shamimu alikuwa Mlimani Redio na akina Gervas et al ni watulivu sana hawa wadada na they're beautiful pia kichwani zimo. Safi sana wadada wa nguvu. Huyo Eliza ni mwandishi wa vitabu pia. Mnunue sio kumsifu tu.