Warembo wa TBC

Warembo wa TBC

Ni bahati nzuri kwamba niliwahi kufanya kazi na hawa watoto wote wawili watoto watulivu sana hao na wote ni wake za watu na wana watoto kadhaa...Eliza ni mdada mpole msomi wa masters na Shamimu nae ni msomi wote wawili wamefanya kazi Mlimani Media wakati huo,Eliza alikuwa akifanya kipindi cha Afya,Shamimu alikuwa Mlimani Redio na akina Gervas et al ni watulivu sana hawa wadada na they're beautiful pia kichwani zimo. Safi sana wadada wa nguvu. Huyo Eliza ni mwandishi wa vitabu pia. Mnunue sio kumsifu tu.
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Yeye mwenyewe kaweka halafu isitoshe ni celeb hebu tuliza kinyeo
Hivi sheria inasemaje kuhusu kuweka picha ya mtu mtandaoni bila ridhaa yake na kuanza kufanya discussion kuhusu personal matters dhidi yake.
Ooh alikuwa Mlimani, ooh ni mtoto wa Mramber, ooh kapanda hewani, ooh ni mke wa mtu, ooh kanenepa sana apunguze unene ...
Nonsense!
 
Sasa unamuuliza nani kuhusu hizo sheria zinazosema nini. Umekuwa judgemental bila kufahamu sheria zinasemaje. Kasome uje ulete pointi zako hapa
 
Vitabu vyake vinahusu nini hasa au ni mtunzi wa riwaya ?
Ni bahati nzuri kwamba niliwahi kufanya kazi na hawa watoto wote wawili watoto watulivu sana hao na wote ni wake za watu na wana watoto kadhaa...Eliza ni mdada mpole msomi wa masters na Shamimu nae ni msomi wote wawili wamefanya kazi Mlimani Media wakati huo,Eliza alikuwa akifanya kipindi cha Afya,Shamimu alikuwa Mlimani Redio na akina Gervas et al ni watulivu sana hawa wadada na they're beautiful pia kichwani zimo. Safi sana wadada wa nguvu. Huyo Eliza ni mwandishi wa vitabu pia. Mnunue sio kumsifu tu.
 
Ni bahati nzuri kwamba niliwahi kufanya kazi na hawa watoto wote wawili watoto watulivu sana hao na wote ni wake za watu na wana watoto kadhaa...Eliza ni mdada mpole msomi wa masters na Shamimu nae ni msomi wote wawili wamefanya kazi Mlimani Media wakati huo,Eliza alikuwa akifanya kipindi cha Afya,Shamimu alikuwa Mlimani Redio na akina Gervas et al ni watulivu sana hawa wadada na they're beautiful pia kichwani zimo. Safi sana wadada wa nguvu. Huyo Eliza ni mwandishi wa vitabu pia. Mnunue sio kumsifu tu.
Sawa lil ommy kwa kumsifia mke wako
 
Back
Top Bottom