Warembo wa TBC

Ni bahati nzuri kwamba niliwahi kufanya kazi na hawa watoto wote wawili watoto watulivu sana hao na wote ni wake za watu na wana watoto kadhaa...Eliza ni mdada mpole msomi wa masters na Shamimu nae ni msomi wote wawili wamefanya kazi Mlimani Media wakati huo,Eliza alikuwa akifanya kipindi cha Afya,Shamimu alikuwa Mlimani Redio na akina Gervas et al ni watulivu sana hawa wadada na they're beautiful pia kichwani zimo. Safi sana wadada wa nguvu. Huyo Eliza ni mwandishi wa vitabu pia. Mnunue sio kumsifu tu.
 
Siku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816
Hivi sheria inasemaje kuhusu kuweka picha ya mtu mtandaoni bila ridhaa yake na kuanza kufanya discussion kuhusu personal matters dhidi yake.
Ooh alikuwa Mlimani, ooh ni mtoto wa Mramber, ooh kapanda hewani, ooh ni mke wa mtu, ooh kanenepa sana apunguze unene ...
Nonsense!
 
Sawa.
Sawa. Tunaomba majina ya vitabu alivyoandika tafadhali ili tuweze kuvifuatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…