Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Nimeolewa na nilijitahidi harusi iwe ndogo iwezekanavyo na kwa kiasi flani tulifanikiwa.

Ila ningepata nafasi nyingine sitaki sherehe hata ndogo[emoji4].
 
Back
Top Bottom