Warembo wote wa MMU njooni hapa

una mashine?

na

wajua kuitumia vizuri?

vipi kuhusu waleti inasomeka?
 
mashine ipo na inatumiwa vizuri sana tu.
kuhusu waleti sina uhakika sana.
hata km ingalikuwa kuna upungufu huko kwenye mashine

uongo waleti ingekubeba

sasa huna uhakika na waleti na waleti ndio kila kitu

mkuu nikupe pole na sahau kuhusu mada yako
 
hata km ingalikuwa kuna upungufu huko kwenye mashine

uongo waleti ingekubeba

sasa huna uhakika na waleti na waleti ndio kila kitu

mkuu nikupe pole na sahau kuhusu mada yako
mapenzi sio pesa mkuu, warembo wanafahamu hilo.
kama wanahitaji pesa waende benki, mie ni Dr.love nimejitolea tu kusambaza love kwa mrembo wa jf
 
mapenzi sio pesa mkuu, warembo wanafahamu hilo.
kama wanahitaji pesa waende benki, mie ni Dr.love nimejitolea tu kusambaza love kwa mrembo wa jf
kila la kheri mkuu

kumbuka ukila vya mwenzio na vyako lazima viliwe
 
Mbona ujaweka sifa?? Maana wanaume wa jf mnavopenda misambwanda mmh

ila mnatushushia heshima eti wahi offer kweli???
 
Mbona ujaweka sifa?? Maana wanaume wa jf mnavopenda misambwanda mmh

ila mnatushushia heshima eti wahi offer kweli???

misambwanda sio lazima, ukiwa mrembo inatosha.

kuhusu " wahi offer" mtanisamehe maana nilidhani mpo wengi. na mie nataka mmoja tu. nimefikiria neno zuri la kuweka nimekosa..
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Akili za usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…