Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una mashine?
na
wajua kuitumia vizuri?
vipi kuhusu waleti inasomeka?
hata km ingalikuwa kuna upungufu huko kwenye mashinemashine ipo na inatumiwa vizuri sana tu.
kuhusu waleti sina uhakika sana.
niamini, kwa hapa Tz sidhani kama yupo anaenishinda.Unajua mapenz wew????
mapenzi sio pesa mkuu, warembo wanafahamu hilo.hata km ingalikuwa kuna upungufu huko kwenye mashine
uongo waleti ingekubeba
sasa huna uhakika na waleti na waleti ndio kila kitu
mkuu nikupe pole na sahau kuhusu mada yako
ww hautaki kujaribu bahati yako shunie?Ngoja waje mkuu kila la kheri
kila la kheri mkuumapenzi sio pesa mkuu, warembo wanafahamu hilo.
kama wanahitaji pesa waende benki, mie ni Dr.love nimejitolea tu kusambaza love kwa mrembo wa jf
Hapana aisee mkuu acha warembo wakuje me ni kibibi kizee nalea wajukuu na babu yakoww hautaki kujaribu bahati yako shunie?
unaweza kushinda, give it a try.
hahaa sawa bibi, wish me luck. maana naona mpaka saiv hawajajitokeza bado.Hapana aisee mkuu acha warembo wakuje me ni kibibi kizee nalea wajukuu na babu yako
Watakuja mkuu usiwe na hofu wasubirie pm huko usisahau kutuletea mrejeshohahaa sawa bibi, wish me luck. maana naona mpaka saiv hawajajitokeza bado.
Mbona ujaweka sifa?? Maana wanaume wa jf mnavopenda misambwanda mmh
ila mnatushushia heshima eti wahi offer kweli???
asante, nimepata matumaini sasa hivi. usijali ntawapa mrejesho.Watakuja mkuu usiwe na hofu wasubirie pm huko usisahau kutuletea mrejesho