Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Ifike wakati hawa mbwa wanaija wapigwe marufuku kuingia nchini. Ni washenzi sana. Na ndio waliochangia pasipoti yetu kushuka viwango hawa mbwa wapenda hela za haraka na haramu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hotel kubwa kama ile reception lazima mtu huwa yupo mda wowote na ni lazima iwe na cctv Ili kuepuka wahuniYaani hii scene imetengenezwa na Ina director!kila kilichofanyika kilipangwa....hebu fikiria anadai alikutana na warusi wawili couple wakawa marafiki zake mchana,usiku anapoahangaika kutafuta msaada milango ya hotel yote ulikuwa imefungwa Ila kwa wale warusi akakuta pako wazi,swali linakuja kwa Nini warusi hawakufunga mlango saa nane za usiku?Ile Ni timu moja,pale walitaka kutengeneza ushahidi tu,kwa Nini aliwakimbia walinzi??Yaani hii case ingepata mpelelezi wa kimataifa na lawyer Kuna vitu vingefichuka.
Hahahah Dada hakumaliza story yake jana.Walipwe kina nani!
Unajua hata kijana aliyetumwa kuchukua kondomu alirudi akashangaa demu analalamika kabakwa....
Hii michezo ya wanijeria tunaijua.
Imagine kwako wewe uzalendo ni kufunika vitendo vya kihalifu vinavyofanya na mamlaka zenu.Trump aliposema Africa tunajitaji miaka 50 ya kutawaliwa hii ilisababishwa na watu Kama Nyie msiojua maana ya Utaifa na uzalendo? Wenzetu Nigeria wanastand pamoja hata Ni uongo sisi Sasa kwa kupenda kupopoa vya kwetu!
Haya hiyo Werere ikifungwa wewe unafaidikaje? watanzania wangapi watapoteza ajira pale?na huyo Zai akilipwa hizo pesa zinaingiaje kwenye mzunguko wetu?Unajua kwa Nini nchi nyingine hawatakikwi Hawa watu?kwa ajili ya janjajanja zao Kama hizi....Use ur head!
Nimesoma huyo ni danga...... Kiufupi huyo ni malaya aliyekuja kujiuza...akakosa mteja akaangukia kwa mlinzi.Hahahah Dada hakumaliza story yake jana.
Ukamalizie kuisoma basi.
What we need ni justice for her.
Sawa ila hii approach ya kusema Zanzibar is safe mitandaoni haitatusaidia kurufisha image nzuri ya utalii Zanzibar.Nimesoma huyo ni danga...... Kiufupi huyo ni malaya aliyekuja kujiuza...akakosa mteja akaangukia kwa mlinzi.
Akaona asiruudi bila chochote arudishe nauli yake kwa kulipwa na hotel.
Sasa unatulaumu sisi au madanga?Sawa ila hii approach ya kusema Zanzibar is safe mitandaoni haitatusaidia kurufisha image nzuri ya utalii Zanzibar.
Kitu cha muhimu mamlaka zifanye kazi zake kwa weledi Justice ipatikane.
Mitandao mnaichukulia poa ila yule mwenye hotel imeshakula kwake....
Nawe hujaelewa.Mlinzi ni mwajiriwa wa kampuni X.Hiyo kampuni X ndio imekuwa commissioned kulinda Warere.Sasa utasema Werere hawahusiki na huyo mlinzi?Hujasoma mada ukaelewa, huyu mlinzi sio mfanya kazi wao.
Mwanamke kuchekea hii inaumiza sana. And this is coming from a man.
"huyo kahaba kajilengesha kwa kusudio maalumu /sasa hajaambulia chochote na mtaji wake wa kufanyia uhalifu umepotea anaona uchungu kweli kweli"Utamu haujawahi kumuacha mla kimasihara salama.
Martin Twitter amekumbushia kuhusi majibu ya polisi kwamba fulani 'amejiteka'. Ndio jamii tuliyopo kukumbatia ujinga kwa kigezo cha uzalendo.Imagine kwako wewe uzalendo ni kufunika vitendo vya kihalifu vinavyofanya na mamlaka zenu.
Huu ndio ujinga tulikuwa tunabishana na akina Bia yetu humu kila siku.
Kwamba watu wakiporwa, wakafanyiwa sexual assault sisi tukafunika hayo maovu ndio tunakuza utalii?
Nani asiyejua jinsi mamlaka zetu zilivyooza kwenye kutoa maamuzi?
Hahahah
Kwa maelezo ya mlinzi ni kwamba muda wake wa kazi uliisha, alitakiwa kwenda home
Hotel huwezi linganisha na hospital mkuu Mambo yanayofanyika huko ni laana ndio maana hao wenye hotel wamechukulia ni Jambo la kawaida mlinzi kutoa dozi Kwa mteja ikiwa amemaliza Muda wake WA kazi.
Unatetea ujinga halafu unanifanya kucheka?nenda huko clubhouse ukasikilize wanaume wenzio wanavyopanga kuua utalii Tanzania,kasikilize wanaume wenzio wanavyosimana na nchi zao sio wewe uko busy kukakandamiza wa kwenu...ambake Nani yule kahaba hata kwa macho unamuonaImagine kwako wewe uzalendo ni kufunika vitendo vya kihalifu vinavyofanya na mamlaka zenu.
Huu ndio ujinga tulikuwa tunabishana na akina Bia yetu humu kila siku.
Kwamba watu wakiporwa, wakafanyiwa sexual assault sisi tukafunika hayo maovu ndio tunakuza utalii?
Nani asiyejua jinsi mamlaka zetu zilivyooza kwenye kutoa maamuzi?
Hahahah