Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Wewe ndo unatetea ujinga. Mlinzi kulala na mteja sehemu ya lindo ndio ujinga wenyewe huo. Siyo maadili ya kazi hayo. Yeyote anayetetea mlinzi kulala na mteja sehemu ya kazi, anatetea ujinga.
Mlinzi Ni victim wa kukosa ethics!lakini hii kitu ulikuwa planed na am sure mlinzi hakumtongoza huyo dada,akipata wapi guts za kutuingiza binti Kama huyo?huyo dada kajilengesha then kageuza kibao.... Nigerians wametuzidi speed wabongo,kaeni hapo kumtetea huyo dada!Hamna mbakwaji pale slay queen mzima akipata wapi muda wa kutongozana na mlinzi
 
Inaonekana dunia imefika wakati wa Sodoma na Gomorrah. Yaani hakuna maadili tena. Katika biashara, mtoa huduma haruhusiwi kuwa na mahusiano na mteja, achilia mbali kufanya mapenzi na mteja sehemu ya kazi. Huo ndio ukweli. Ukifikiria kisodoma na gomorrah, utaona ni sawa tu kulala na wateja kazini.
Ukweli ndio huo mkuu, wateja wengi wanaokuja wako wenyewe huomba kutafutiwa kampani nyakati za usiku. Na mwenye hotel au mameneja hawakatai wanaona ni sehemu ya kumfanya mteja aifurahie trip yake.
 
Mtu akija kazini kwako kwa nia mbaya, haina maana kuwa ukubali kutimiza nia yake mbaya hiyo. Haina maana kuwa umpe ushirikiano. Ungekuwa mwenye hotel wewe, ungeruhusu wafanyakazi wako (Ke/Me) walale na wateja hapo hotelini kwako?
Kama umifanya utafiti wanawake wengi wanaokwenda kutalii pekee yao Huwa Wana motives yao na wengi wao huliwa sana
 
Kwahiyo mlinzi anatakiwa awajibishwe lakini sio sasa msaidie kuchochea Hili suala.

Kama umifanya utafiti wanawake wengi wanaokwenda kutalii pekee yao Huwa Wana motives yao na wengi wao huliwa sana
Kuna utalii wa ngono pia kwa jinsia zote.Hata vibibi uja kupeana
 
Mtu akija kazini kwako kwa nia mbaya, haina maana kuwa ukubali kutimiza nia yake mbaya hiyo. Haina maana kuwa umpe ushirikiano. Ungekuwa mwenye hotel wewe, ungeruhusu wafanyakazi wako (Ke/Me) walale na wateja hapo hotelini kwako?
Utakuwa unashida ya kuelewa
Hebu nioneshe wapi nimesapoti wafanyajazi kuwala wageni?
 
Umejaza assumptions kwenye assertion yako. Ukweli ni kwamba mlinzi mwenye maadili yake ya kazi, alitakiwa kukataa hata kama alitongozwa na mteja. Utetezi wako ni sawa na mtu mzima anayeshitakiwa kwa ubakaji wa mtoto wa miaka 16 mahakamani aseme kuwa hakubaka kwa vile mtoto alikubaliana naye. Huo hautakuwa utetezi wa kumwondolea hatia.
Mlinzi Ni victim wa kukosa ethics!lakini hii kitu ulikuwa planed na am sure mlinzi hakumtongoza huyo dada,akipata wapi guts za kutuingiza binti Kama huyo?huyo dada kajilengesha then kageuza kibao.... Nigerians wametuzidi speed wabongo,kaeni hapo kumtetea huyo dada!Hamna mbakwaji pale slay queen mzima akipata wapi muda wa kutongozana na mlinzi
 
Tatizo hilo limesababishwa na mwenye hoteli kwa kutokua na masharti magumu kwa wafanyakazi kuhusu uhusiano na wateja kazini.
Sharti moja muhimu ni mfanyakazi kutojihusisha kimahusiano hotelini, hii huepusha mitego dhidi ya hoteli.
Ni moja ya masharti kabla ya kazi.Pia wengi wametoka kimaisha kwa kupeana na wageni.
 
Wee mwenyewe haujui kujieleza. Halafu unashangaa kwa nini haueleweki! Hebu soma tena ulichoandika hapa chini, uone jinsi ulivyo.
Kwahiyo mlinzi anatakiwa awajibishwe lakini sio sasa msaidie kuchochea Hili suala. = Kiswahili gani hicho sasa!!

Kama umifanya utafiti wanawake wengi wanaokwenda kutalii pekee yao Huwa Wana motives yao na wengi wao huliwa sana
 
Kwa hiyo ukiwa daktari, muda wako wa kazi ukaisha, unaweza kulala na mgonjwa wako, tena hapo hapo hospitalini? Umetoa hoja ya kijinga, wewe na mlinzi.
Hospital ni tofauti na maisha ya hotelini , hotelini watu wanakuja kustarehe na kufurahia maisha pamoja na kutumia pesa zao zisizo na kazi, mfano mteja anataka massage afanyiwe body to body chumbani kwake na hiyo huduma Ipo unadhani meneja hajui km zoezi la kuliwa mtoa huduma linaweza kutokea unadhani kavunja maadili ya kazi hapo, hapo ndio kamfanya mteja azidi kupenda huduma za hapo. Huko kinachoangaliwa mteja afurahi Tu na siyo maswala ya ethics za kazi , Dunia ndipo ilipofikia
 
Scammer tu huyu Kaplan kila kitu
Screenshot_20220418-143153.png
 
Sasa unatulaumu sisi au madanga?

Yaani sisi tusiache kusema Zanzibar is safe just because of Nigerian whores?

How many places are not safe in Africa but still they receive thousand of tourists?

Is Jozi safe?

Is Cape Town safe?

Is Lagos safe?
Kuita Danga siyo sawa sababu unakuwa umeshafanya judgement yako.

Tukisema justice for Zainab it means vyombo vya sheria vifanye kazi yake mambo yote yawekwe mezani. Ieleweke shida iko kwa mwenye hotel au kwa Zainab. Na mwisho wa siku haki itendeke.

Unaposema Zanzibar is safe unajaribu kusema hizo tuhuma alizoleta huyo dame haziexist. What if kama xinaexist huoni kwamba unaficha wabakaji?

Zanzibar watalii wawili hawajawahi kimwagiwa tindikali?

Hapa Tanzania hakuna DC fulani aliyewahi kuvamia hotel fulani na akacommand Nandy aletwe ili ale mzigo?

mfumo wetu uko rotten.
 
Hospital ni tofauti na maisha ya hotelini , hotelini watu wanakuja kustarehe na kufurahia maisha pamoja na kutumia pesa zao zisizo na kazi, mfano mteja anataka massage afanyiwe body to body chumbani kwake na hiyo huduma Ipo unadhani meneja hajui km zoezi la kuliwa mtoa huduma linaweza kutokea unadhani kavunja maadili ya kazi hapo, hapo ndio kamfanya mteja azidi kupenda huduma za hapo. Huko kinachoangaliwa mteja afurahi Tu na siyo maswala ya ethics za kazi , Dunia ndipo ilipofikia
Huko dar es salaam, body body wapi hotel niende nikaone
 
Back
Top Bottom