Warioba Hakutunga katiba, Warioba aliandika mapendekezo

Warioba Hakutunga katiba, Warioba aliandika mapendekezo

Mm hapo ndio napoichukia hii inaitwa siasa japo si kweli.
Kwanza huu musa sio mzuri hata kidogo. Wabunge sio rahisi kuweka pembeni personal interest. Uchaguzi unakaribia. Hawawezi tena kuaminika kuwa objective.
 
Haika mbona unavibrate humu hata hueleweki,mara huwaamini wabunge kisa muda wao umeisha uko tu unarukaruka mwanamke wewe tulia suala la mbunge kuwa kushindwa kuwa objective linakuja wapi tena?kwani uliwachagua ili iweje?au ulimchagua mbunge wako kwa kushinikizwa?acha hizo bwana wewe na mimi tunaweza zungumza lugha moja maana kuna mijitu humu inatukana kwa kuangalia jinsia zetu mi siipendi katiba pendekezwa haisomi yenyewe inaleta shobo.
 
Back
Top Bottom