Warioba Joseph Butiku amelazwa ICU. Ni rafiki wa Polepole

Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.

Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.

Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.

Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.

MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Ndiye huyo aliombwa rushwa ya 150K?
 
All is possible
 
Wanajua kwamba mzee friji aligandishi kwahiyo baada ya kumchoma polepole wakaona anaweza siku akaja kuwaumbua bora wampe stroke na kumzimisha aisweze kuongea.
 
Ni siku nyingi kuna habari kuwa ni mgojwa sana. Nadhani walikuwa wanaficha ili wananchi wasihuishe ugonjwa wake na laana ya kupotea kwa Polepole na alivyosimama upande wa wauaji baada ya 29/10
 
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.

Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.

Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.

Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.

MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Ni Butiku au Warioba? Nyoosha maelezo, kichwa cha habari na contents ni mbingu na ardhi.. kinazua taharuki...
 
Watammaliza tu , game ya espionage jinsi ilivyo ukipewa kazi ukiifanya waliokupa kazi wanakumaliza kupoteza ushahidi hawataki mambo mengi 😄
Hii ndiyo sehemu ya hatari ya “game” za aina hiyo. Mara nyingi anayejua mengi ndiye anayekuwa na mzigo mkubwa wa siri. Lakini mwisho wa siku, ukweli wa jambo lolote unapaswa kuachwa uchunguzwe na ushahidi, si kuishia kwenye assumptions za kwamba waliokupa kazi lazima wakumalize.
 
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.

Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.

Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.

Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.

MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Hivi huyu Mzee jina lake kamili kumbe huwa ni "Warioba Joseph Butiku" na siyo "Joseph Butiku" pekee..?

Honestly, title ya thread yako ilinichanganya kiasi cha kufikiri labda ni Mzee Joseph Sinde Warioba...
 
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.

Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.

Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.

Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.

MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Kwa hiyo yeye hatakiwi kulazwa au? Hangaikieni Afya yeke badala ya conspiracy za kijinga.

Yale yake ya Mwendazake,kwani nani ana haki miliki ya uhai?
 
Ni siku nyingi kuna habari kuwa ni mgojwa sana. Nadhani walikuwa wanaficha ili wananchi wasihuishe ugonjwa wake na laana ya kupotea kwa Polepole na alivyosimama upande wa wauaji baada ya 29/10
Aliyelazwa mkoani Mara si mzee Butiku, wanaweza kuwa na undugu kwa kuwa wote wanatoka Butiama, lakini Butiku si mtu wa kuchangiwa matibabu na ndugu, wala wa kuombwa rushwa na wahudumu wa afya.

Huyu aliyelazwa, uongozi wa hospitali umeingilia kati na kuihusisha takukuru kufanya uchunguzi baada ya ndugu wa mgonjwa kulalamika kuombwa rushwa.

Butiku hawezi kulazwa hospitali ya kwangwa.
 
Back
Top Bottom