Warioba Joseph Butiku amelazwa ICU. Ni rafiki wa Polepole

Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.

Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.

Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.

Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.

MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
'Anonymous', hii taarifa aliihusisha na Warioba Josephat Butiku; mchunga ng'ombe wa Butiama, siyo Joeph Butiku mali ya Samia Suluhu Hassan.
 
Hivi huyu Mzee jina lake kamili kumbe huwa ni "Warioba Joseph Butiku" na siyo "Joseph Butiku" pekee..?

Honestly, title ya thread yako ilinichanganya kiasi cha kufikiri labda ni Mzee Joseph Sinde Warioba...
Mimi nilijua ni wote wawili,Mzee Warioba na Mzee Butiku
 
Watammaliza tu , game ya espionage jinsi ilivyo ukipewa kazi ukiifanya waliokupa kazi wanakumaliza kupoteza ushahidi hawataki mambo mengi 😄
Nimeiona hii huko mtandaoni isijekuwa ni strategy namba 2

Ofisi ya Makamu wa Rais
Follow​

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
1786370171761.jpeg

1786370192620.jpeg
 
Mzee wetu Butiku siyo tu ni Rafiki wa Polepole tu bali sema ni rafiki wa watanzania wote .

Tumuombee apate nafuuu
kama alihusika kutekwa kwa Humphrey Polepole, hawezi kuwa rafiki wa waTanganyika.
 
Zee la hovyo, likifa litazikwa watu watalikumbuka kwa mambo yake ya hovyo.
 
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.

Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.

Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.

Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.

MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.

Huwa nashangaa sana ujasiri wa kupita kona kali kwenye mlima mrefu wenye makorongo. Interesting times
 
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.

Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.

Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.

Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.

MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
ACHA UONGO.
Leo hii mida ya saa tisa mchana nimemwona mzee Butiku kwenye msiba wa mzee Chijoriga, Bahari Beach.
 
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.

Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.

Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.

Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.

MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
 
Mkuu figganigga umekuwa mwongo sana siku hizi, nilikuwa na wewe bega kwa bega kwenye uzi wa vita ya Ukraine na Russia sasa wewe unavyoona mzee Butiku anaweza kulazwa hospital ya kangwa?.

Huu uzi aliuanzisha mdau kutoka huko majuzi akisema ni rafiki yake na ameumizwa kutokana na mambo ya mifugo, wewe unasema ni mzee Butiku.

figganigga why why mkuu? why?.

https://www.jamiiforums.com/threads...bambikia-bili-zenye-harufu-ya-rushwa.2461014/
Sasa mimi yaninuhusu nini? Kwa upande wangu namuombea mabaya. Hivyo mimi si mwenzio.. So hajafa?
 
Hayo ya kumuombea mimi pia hayanihusu ila unapunguza credibility hapa jukwaani kwasababu ya cheap politics, mgonjwa ni kijana huko mara na sio mzee Butiku.
 
Nakuheshimu. Ila nahisi umekosa umakini na ukahisi ni Joseph Sinde Warioba.. Hata hivyo Butiku kuumwa au kufa inazua taharuki gani? Acha kujiondoa ufahamu
Sawa ndugu yangu, sikujua kama Butiku naye ni Warioba...heading inasomeka ...

Warioba Joseph Butiku amelazwa ICU.​

Haujamuuliza habari za taratibu taratibu?
Hii mada ni dhanifu, mada isiyobebeka na facts.
Figganigga anaheshimika sana hapa mtandaoni JF, lakini mimi sikutegemea kuwa ataanzisha mada ambayo factually ni wrong.
Mtu unaposema mzee Butiku amelazwa ICU, nami nimeonana naye na kumsalimu mzee yule, basi napata wasiwasi na maana haswa ya mada hii.
Kumsalimu mzee Butiku haina maana nakubaliana naye ,hasa kwa yale aliyosema baada ya Ok29.
 
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.

Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.

Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.

Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.

MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Maradhi ni kawaida kwa binadamu tena kwa mtu mzima kama yeye, msitafute mtu wa kumsingizia hapa
 
Back
Top Bottom