Mimi naomba nitolewe kwenye hii orodha. Angekuwa ni Jaji Joseph Sinde Warioba, ningekubaliana na weweMzee wetu Butiku siyo tu ni Rafiki wa Polepole tu bali sema ni rafiki wa watanzania wote .
Tumuombee apate nafuuu
Ndiye huyo aliombwa rushwa ya 150K?Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
All is possibleTangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Wanajua kwamba mzee friji aligandishi kwahiyo baada ya kumchoma polepole wakaona anaweza siku akaja kuwaumbua bora wampe stroke na kumzimisha aisweze kuongea.Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Ni siku nyingi kuna habari kuwa ni mgojwa sana. Nadhani walikuwa wanaficha ili wananchi wasihuishe ugonjwa wake na laana ya kupotea kwa Polepole na alivyosimama upande wa wauaji baada ya 29/10Wanajua kwamba mzee friji aligandishi kwahiyo baada ya kumchoma polepole wakaona anaweza siku akaja kuwaumbua bora wampe stroke na kumzimisha aisweze kuongea.
Yeah kuhusu kuumwa ni muda sana anaumwa tena ni STROKE.Ni siku nyingi kuna habari kuwa ni mgojwa sana. Nadhani walikuwa wanaficha ili wananchi wasihuishe ugonjwa wake na laana ya kupotea kwa Polepole na alivyosimama upande wa wauaji baada ya 29/10
Dogo my take ChoiceVariable ulidhani upo pekee yako na kututambia?MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Ni Butiku au Warioba? Nyoosha maelezo, kichwa cha habari na contents ni mbingu na ardhi.. kinazua taharuki...Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Hii ndiyo sehemu ya hatari ya “game” za aina hiyo. Mara nyingi anayejua mengi ndiye anayekuwa na mzigo mkubwa wa siri. Lakini mwisho wa siku, ukweli wa jambo lolote unapaswa kuachwa uchunguzwe na ushahidi, si kuishia kwenye assumptions za kwamba waliokupa kazi lazima wakumalize.Watammaliza tu , game ya espionage jinsi ilivyo ukipewa kazi ukiifanya waliokupa kazi wanakumaliza kupoteza ushahidi hawataki mambo mengi 😄
Nakuheshimu. Ila nahisi umekosa umakini na ukahisi ni Joseph Sinde Warioba.. Hata hivyo Butiku kuumwa au kufa inazua taharuki gani? Acha kujiondoa ufahamuNi Butiku au Warioba? Nyoosha maelezo, kichwa cha habari na contents ni mbingu na ardhi.. kinazua taharuki...
Hivi huyu Mzee jina lake kamili kumbe huwa ni "Warioba Joseph Butiku" na siyo "Joseph Butiku" pekee..?Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Kuwatambia nini wewe trako?Dogo ni mom wakoDogo my take ChoiceVariable ulidhani upo pekee yako na kututambia.
Kwa hiyo yeye hatakiwi kulazwa au? Hangaikieni Afya yeke badala ya conspiracy za kijinga.Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Dogo my take punguza jazba nyau wwKiwatambia nini wewe Yako?Dogo ni mom wako
🚮🚮Dogo my take punguza jazba nyau ww
Aliyelazwa mkoani Mara si mzee Butiku, wanaweza kuwa na undugu kwa kuwa wote wanatoka Butiama, lakini Butiku si mtu wa kuchangiwa matibabu na ndugu, wala wa kuombwa rushwa na wahudumu wa afya.Ni siku nyingi kuna habari kuwa ni mgojwa sana. Nadhani walikuwa wanaficha ili wananchi wasihuishe ugonjwa wake na laana ya kupotea kwa Polepole na alivyosimama upande wa wauaji baada ya 29/10