'Anonymous', hii taarifa aliihusisha na Warioba Josephat Butiku; mchunga ng'ombe wa Butiama, siyo Joeph Butiku mali ya Samia Suluhu Hassan.Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Mimi nilijua ni wote wawili,Mzee Warioba na Mzee ButikuHivi huyu Mzee jina lake kamili kumbe huwa ni "Warioba Joseph Butiku" na siyo "Joseph Butiku" pekee..?
Honestly, title ya thread yako ilinichanganya kiasi cha kufikiri labda ni Mzee Joseph Sinde Warioba...
Nimeiona hii huko mtandaoni isijekuwa ni strategy namba 2Watammaliza tu , game ya espionage jinsi ilivyo ukipewa kazi ukiifanya waliokupa kazi wanakumaliza kupoteza ushahidi hawataki mambo mengi 😄
Joseph Wambura Butiku.Hivi huyu Mzee jina lake kamili kumbe huwa ni "Warioba Joseph Butiku" na siyo "Joseph Butiku" pekee..?
kama alihusika kutekwa kwa Humphrey Polepole, hawezi kuwa rafiki wa waTanganyika.Mzee wetu Butiku siyo tu ni Rafiki wa Polepole tu bali sema ni rafiki wa watanzania wote .
Tumuombee apate nafuuu
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
ACHA UONGO.Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Mimi na wewe nani muongo. So tukuamini kwa maneno haya ulobwabwaja?ACHA UONGO.
Leo hii mida ya saa tisa mchana nimemwona mzee Butiku kwenye msiba wa mzee Chijoriga, Bahari Beach.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache kututajia.
Ni vizuri kwenda kuugulia Hospitali karibu na Nyumbani.
MY TAKE
Wasiojulikana wasijekuwa walimpa sumu ili kupoteza ushahidi ili asiwataje.
Sasa mimi yaninuhusu nini? Kwa upande wangu namuombea mabaya. Hivyo mimi si mwenzio.. So hajafa?Mkuu figganigga umekuwa mwongo sana siku hizi, nilikuwa na wewe bega kwa bega kwenye uzi wa vita ya Ukraine na Russia sasa wewe unavyoona mzee Butiku anaweza kulazwa hospital ya kangwa?.
Huu uzi aliuanzisha mdau kutoka huko majuzi akisema ni rafiki yake na ameumizwa kutokana na mambo ya mifugo, wewe unasema ni mzee Butiku.
figganigga why why mkuu? why?.
https://www.jamiiforums.com/threads...bambikia-bili-zenye-harufu-ya-rushwa.2461014/
Rachel Dangwa yupo sana anadundaSa100 anatumalizia watanganyika wetu.polepole kamdedisha,rachael dangwa kamdedisha,soka na wengine.Tuukatae huu udicteta
Hayo ya kumuombea mimi pia hayanihusu ila unapunguza credibility hapa jukwaani kwasababu ya cheap politics, mgonjwa ni kijana huko mara na sio mzee Butiku.Sasa mimi yaninuhusu nini? Kwa upande wangu namuombea mabaya. Hivyo mimi si mwenzio.. So hajafa?
Sijahadithiwa, nimemsalimu mzee Butiku mchana huu, Bahari Beach.Mimi na wewe nani muongo. So tukuamini kwa maneno haya ulobwabwaja?
Haujamuuliza habari za taratibu taratibu?Sijahadithiwa, nimemsalimu mzee Butiku mchana huu, Bahari Beach.
Hii mada ni dhanifu, mada isiyobebeka na facts.Haujamuuliza habari za taratibu taratibu?
Maradhi ni kawaida kwa binadamu tena kwa mtu mzima kama yeye, msitafute mtu wa kumsingizia hapaTangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.