warioba serikali 3 umeotoa wapi? wapeni zanzibar nchi yao

warioba serikali 3 umeotoa wapi? wapeni zanzibar nchi yao

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,360
Reaction score
6,069
takwimu za haraka nilizonazo ni kuwa watanganyika 61% walipendekeza serikali 3
wazanzibari 60% walipendekeza serikali ya muungano.
kwa mantiki hii kuweka serikali 3 ni kupuuza hoja za wazanzibar waliowengi.
pili kuweka serikali 3 ni kupoteza resource na opportunities kwa watanganyika, kwani tupo wengi, tuliosoma na tunaoendelea kusoma, tungehitaji ardhi, na resources nyingine kwa ustawi wetu lakini tanganyika ya leo inageuzwa shamba la bibi na wageni. nikiwa kama mtanganyika natambua katika historia ya dunia kuwa zipo nchi zilizowahi kuwa taifa moja na sasa hazipo pamoja. kwahiyo sio kitu kigeni, muungano kwa sasa hauna mashiko.

wazanzibar hali wakijua wamekaa na sisi miaka 50 lakini bado hawajatukubali kama taifa moja, na hili sio swala la siri kwani wameonyesha ujasiri hata wakudai nchi yao wakati sisi tunaonyesha kigugumizi. why?.
v
watanganyika hatutegemei kunufaika na ardhi wala rasilimali za wazanzibar tukiwa ndani ya muungano leo wala kesho kwani ni ndogo na adimu, ninachoona kwakuwa muda tuliokaa ni mrefu lakini hatujaweza kuwa kitu kimoja, tuachane.
Koti likikubana unalivua. tulivue koti sasa . time is now
viongozi wetu wakiwemo wakina warioba, acheni ku-sold out, wapeni wazenji kisiwa chao, na sisi mtupe nchi yetu ya Tanganyika our ''promised land'' yenye maziwa na asali, jangwa hadi barafu, tujinome.
 
Kama wakitokea Wazanzibar 400,000 wakitaka kujitoa kwenye muungano basi hoja yao hiyo bado haitakuwa na uhalali wa kuuvunja muungano.

Ukweli ni kwamba Watanzania wanao itaka Tanzania iendelee na muungano wa sasa udumishwe ni wengi kuliko wale wanaotaka tofauti.

Hivyo basi, kelele za wanaotaka kuuvunja muungano zisikusumbue. Ni maoni yao tu.
 
Wewe uliyeanzisha hii mada hujamuelewa Jaji Warioba na wala hujui utete wa Muungano. Kwanza kusema serikali 3 siyo muungano umekosea. Kusema wazanzibari 60% walitaka muungano??? UP???

Wazaznibari walio wengi walitaka Muungano wa mkataba.
Ujue ya kuwa wa bara na wazanzibari wamechanganyika damu sana, na wengi wao wapo Bara. Hivyo siyo rahisi hivyo kuvunjika kwa muungano.Vilevile wakazi wa Zanzibar wamelishwa sumu, kwamba ugumu wa maisha yao ni sababu ya muunngano.

Ni mengi sana ya kukueleza, ila jaribu kufatilia uboreshwaji wa hii katiba then utayajua mengi.
 
Kwa mtu aliyekuwa na majibu ya muundo wa muungano kichwan mwako isingekuwa rahisi kumwelewa warioba.
Warioba alisema wazanzibar wote katika swala la zanzibar kuwa nchi hawakugawanyika.
Wale wa ccm damu walisema zanzibar lazima iwe nchi na wa cuf hvohvo.
Sijui kama rundo la wastaafu litasaidia kikwete kumpiku mzee warioba na kututoa kwenye uelewa ambao mzee warioba ametupatia.
Kama mtanganyika nahitaji sasa nchi yangu irejeshe hadhi yake
 
Niliacha kumthamini warioba tangu alivyoshindwa kuendesha serikali akiwa waziri mkuu hatimaye ikabidi aondoke madarakani.
 
Waryoba anafikiri naye anaweza kuita baba wa Taifa nini?
 
Niliacha kumthamini warioba tangu alivyoshindwa kuendesha serikali akiwa waziri mkuu hatimaye ikabidi aondoke madarakani.
Gongo na sigara vimemwathiri Waryoba, anaona bora Tanzania ife tu.
 
Niliacha kumthamini warioba tangu alivyoshindwa kuendesha serikali akiwa waziri mkuu hatimaye ikabidi aondoke madarakani.
Kwa kilaza kama wewe sishangai kutomwelewa Warioba. Lakini pia najua hujielewi kuwa ni kilaza. Najitolea kukupa ukweli kuwa wewe ni kilaza mbaya hivyo hutakuja mwelewa Warioba. Kama huamini subiri tuone kama utaelewa
 
Gongo na sigara vimemwathiri Waryoba, anaona bora Tanzania ife tu.
Uzuri kaeleza kwa hoja kila alilotetea ila vilaza jamii yako wanakuja na makelele mengi hoja hakuna. Eti nyie ndio wasomi mnaotegemea lol! Sishangai Tanzania kuwa maskini
 
Hizo takwimu zako za 61% na 60% sio sahihi. Kasome vizuri hotuba, hizo ni asilimia za waliotoa maoni kuhusu muungano, let alone waliotoa maoni yote. Hivyo kusema 61% ya watanganyika na 60% ya wazanzibar ni upotoshaji.
 
Ni ngumu sana kujadili kwa upevu mada iliyowekwa mezani kwa hoja za kuokoteza
 
Hakika nataka serikali moja, ila kuwa na mbili hapana tatu yaweza kufaa zaidi
 
Kwa kilaza kama wewe sishangai kutomwelewa Warioba. Lakini pia najua hujielewi kuwa ni kilaza. Najitolea kukupa ukweli kuwa wewe ni kilaza mbaya hivyo hutakuja mwelewa Warioba. Kama huamini subiri tuone kama utaelewa

Kwani wewe uwemba1 umemuelewa kiasi gani warioba na kivipi?!
 
Hakika nataka serikali moja, ila kuwa na mbili hapana tatu yaweza kufaa zaidi

Mbona hueleweki? Mtu kama wewe ndo walee wanaitwa "KIRANGA"... Unataka serikali moja huku unachongoa kwa tatu.Kaa chini tuliza kichwa,chambua kila moja kati ya Serikali 1,ama 2, ama 3 ipi ina tija zaidi kwa wote.
 
Pole kwa kutonielewa ila najua huwa si mara zote naeleweka hasa kwa baadhi ya watu wa KIRANGA kama chako
 
Back
Top Bottom