2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
takwimu za haraka nilizonazo ni kuwa watanganyika 61% walipendekeza serikali 3
wazanzibari 60% walipendekeza serikali ya muungano.
kwa mantiki hii kuweka serikali 3 ni kupuuza hoja za wazanzibar waliowengi.
pili kuweka serikali 3 ni kupoteza resource na opportunities kwa watanganyika, kwani tupo wengi, tuliosoma na tunaoendelea kusoma, tungehitaji ardhi, na resources nyingine kwa ustawi wetu lakini tanganyika ya leo inageuzwa shamba la bibi na wageni. nikiwa kama mtanganyika natambua katika historia ya dunia kuwa zipo nchi zilizowahi kuwa taifa moja na sasa hazipo pamoja. kwahiyo sio kitu kigeni, muungano kwa sasa hauna mashiko.
wazanzibar hali wakijua wamekaa na sisi miaka 50 lakini bado hawajatukubali kama taifa moja, na hili sio swala la siri kwani wameonyesha ujasiri hata wakudai nchi yao wakati sisi tunaonyesha kigugumizi. why?.
v
watanganyika hatutegemei kunufaika na ardhi wala rasilimali za wazanzibar tukiwa ndani ya muungano leo wala kesho kwani ni ndogo na adimu, ninachoona kwakuwa muda tuliokaa ni mrefu lakini hatujaweza kuwa kitu kimoja, tuachane.
Koti likikubana unalivua. tulivue koti sasa . time is now
viongozi wetu wakiwemo wakina warioba, acheni ku-sold out, wapeni wazenji kisiwa chao, na sisi mtupe nchi yetu ya Tanganyika our ''promised land'' yenye maziwa na asali, jangwa hadi barafu, tujinome.