Warioba:Tanganyika ina shutumiwa kwa kuvaa koti la Muungano na kufanya Tanzania ndiyo Tanganyika


Km hawataki je?...wanasema wamechoka..
 
Anyway, kama tatu ni tatu bila ujanja ujanja. Kila mmoja ajiamulie yake kivyake na yale ya Muungano yawekwe wazi kabisa yasizidi matatu.
 
Ni mawazo mazuri sana tatizo CCM wanataka kuimeza zanzibar, kazi kwao kwa wazanzibari wenyewe
Wazanzibar wenyewe wamegawanyika,kuna niliowaona kwenye TV wakihamasisha kwamba hawataki serikali tatu na wengine wanawashangilia.
Kiukweli mpira upo mikononi mwa wazanzibar wenyewe,kunyoa au kusuka.
Mimi hata ningetoka usingizini nigesema kama muungano unaendelea tuwe na serikali tatu.
 
Mashule na MA hospital hatujayaweza ndio hiyo Serikali tatu. Waalimu Waganga Watoto wa mitaani Huduma kwa Wazee wasiojiweza na mengi mengi cc bado sana. Mawaziri Manaibu MA KATIBU Wakuu na Manaibu wao Wabunge na wa viti vyao.
Acha Wakuu wa Mikoa Wilaya.........
Jamani Serikali kuitanua c mchezo.
GARI DOGO RTA UNALIPIA LESENI YA MWAKA BEI GANI ACHANA SASA NA VIPURI.
HEBU KAA CHINI KWA MAKINI PIGA HESABU ZAKO PATO LA KUENDESHEA HIZO SERKALI LITATOKA WAPI. UKIZINGATI NCHI INAMADENI MENGI MENGI KTK HII MIRADI INAYOENDELA SASA. Barabara Vyuo Vikuu nk. Hiyo mikopo ya miradi itakuja kuwa ndo mafungu ya Kuendeshe a Serikali . Wakati wakulipa zamani hao Wazee Ma Pro. wamesharudi Kwa MUNGU. NAWASIHI WATZ TUTULIZE MAWAZO TUFIKE PALIPO SALAMA NA VILE VILE MAWAZO YA KUBEBEWA CHANGANYA CHANGANYA HADI UPATE MSETO MZURI
 
Huku kwetu kijiji tunataka serikali mbili.

Warioba kasema mtapata tatu, maRais watatu lakini mmoja tu ndiyo Amiri Jeshi Mkuu asiyekuwa na mamlaka kwa mambo yote ya upande wowote wa Jamhuri. Atakuwa msuluhishi tu endapo pande mbili zitatofautiana na hatakuwa na kura ya turufu kuwalazimisha Wazenj kukubali hoja ya Bara.

Kwa mara ya kwanza duniani tutapata Jamhuri yenye maudhui ya Shirikisho. Duh! Lakini kila kitu kina mwanzo na mwanzishaji, acha tuone matokeo yake.

WATU KUWENI WAUNGWANA MUACHE KUFANYA MAJARIBIO NA VITU VISIVYOWAHI KUJARIBIWA TANGU DUNIA ILIPOUMBWA. NI KUHANGAIKA, TANGU LINI SHIRIKISHO LIKAWA JAMHURI?
 
Kama umeungalisha Nchi mbili ktk Muungano. Nchi hizo huwa ni Majimbo ni kabisa kuwa Jamhuri.
Na kama UMESHIRIKISHA Nchi na Nchi ktk mambo mtakayo shirikiana basi hilo ndio SHRIKISHO na sio MUUNGANO. SASA TUELEWE

1. KUUNGANA MUUNGANO
2. KUSHIRIKISHA SHIRIKISHO
 
Angalia advantage itakayofuatia kama makao makuu ya Tanganyika yatakuwa Dodoma, nikitaja kiujuu juu:
Punguzo la watu kuhamia Dar, badala yake watu watakuwa na option nyingine (Dodoma).

Ikikua Dodoma basi sina haja ya kukuelezea faida yake kiuchumi na kijamii.

*Ninasema yote haya ili kuwe na serikali 3 ili muungano uvunjike,binafsi siutaki muungano.
 
Sijakuelewa hapo watu kuhamia DAR Ana Dodoma. Kwa sasa shughuli nyingi zinakimbilia Mtwara
 
Sijakuelewa hapo watu kuhamia DAR Ana Dodoma. Kwa sasa shughuli nyingi zinakimbilia Mtwara
Ikulu, wizara, ofisi na taasisi za serikali zitakapohamia Dodoma zitahamia na watu.
 
Oh hao wapo ktk hizo office na ni wajibu. Kazi ni mm na ww walipa kodi
 
Tena ujuwe na gharama za kuhama zitatoka hukuhuku tulip cc
 
Oh hao wapo ktk hizo office na ni wajibu. Kazi ni mm na ww walipa kodi
Wakitoka maofisini watahitaji maduka ya kununulia vyakula,mavazi, huduma za matibabu, nyumba za kupanga, wahudumu wa nyumbani,wafagizi wa ofisi zao,madereva, kununua viwanja, watahitajika madalali,mawakili n.k itabidi wengine nao watoke mikoa mingine wakafanye kazi hizo.

Kitakachofuatia ni mahitaji zaidi ya shule,usafiri,hospitali..

Hayo ndiyo ya kufikiria kwa sasa badala kuifikiria jinsi gani ya kuishikilia Zanzibar kila wakati.
 
Hivyo vyote vipo Dom na ni mji unakuwa tena kwa mpangilio. Faida ya Muungano zipo hasusani Usalama natumaili umewasikia ktk Muungano JESHI ni hili hili
 
Mh pia kumbuka Zanzibar ilikuwa na Uhuru wa kinamna na Mtawala ni Sultan.
Ndipo Wana WA Afrika Wapo beba MAWE na marungu 64. MAPINDUZ. Unapo skia Serikali ya Mapinduzi inaongozwa na Baraza la Mapinduzi. Sababu ni moja tu kulinda mapinduzi hayo Ukoloni na Ukoloni mamboleo usirejee Asilani. Asiyetaka Muungano mtazame nywele na autakaye mtazame ngozi ni ngumu ama laini?
 
Tena ujuwe na gharama za kuhama zitatoka hukuhuku tulip cc
Wala gharama za kuhamia Dodoma si kubwa kama Watanganyika wanavyoaminishwa
hasa ukizingatia faida zitakazofuatia.

Kuna majengo ya serikali Dar, yakiuzwa kwa thamani yake hasa basi wataweza kujenga Dodoma na kitakachoongezewa kitakuwa ni kidogo.

Anzeni sasa na Zanzibar iacheni iende.
 
Ningependa kujua faida za huu muungano wetu

Tulimezwshwa zamani kuwa Faida ya Muungano ni Usalama baharini.... nadhani Nyerere alihofia usalama wake tu pale magogoni karibu na Bahari kabisa.... wazenji wao sijui waliogopa kitu gani? au walihisi waarabu watarejea mda wowote wachukue nchi yao....
 
Dom jangwa fikisha maji. Ndugu yangu cjui kama umewahi kupitia jeshini. Huko ndiko pekee utweza kuelewa usalama na uadui wa nchi. Hizi university zinawachengua vijana wengi ambao wansjiamini kuwa wamefikia upeo wa kielemu kumbe ni nadharia tu ya elimu fulani.
Elimu kwa vitendo hawana kitu
wanaubishia hata msahafu na bibilia. Check hapa bofya sionaona lap top kila kitu kipo hapa mwanangu. Elimu kwa vitendo ni bora kuliko ya makaratasi.
Naiyomba serikali iachane na kuajiri makaratasi iajiri vitendo. Viwanda vimeuwawa kwa kuajiri makaratasi badala ya ujuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…