Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Yawezekana kauli ile metolewa ili kuonesha jinsi gani utaratibu wa kuvaa koti kubwa ulivyovurugwa.
Kwa kauli hii sidhani kama kuna mtanganyika atajifanya kwamba yeye ni bora sana wa kulivaa koti
hilo kwa kipindi kingine cha miaka minne baada ya 2015.Ni vema wanasiasa hao wakapokezana koti
hilo ikiwezekana kwa kutumia mapendekezo ya Mzee Warioba hasa linapokuja suala ya mausiano ya nje.
Na Wazanzibar nao yawapasa kuwa wazalendo wa kweli kwa kukataa kutumiwa na mabepari wa kiarabu
kwa manufaa ya vizazi vijavyo vya hao mabepari.
Ili kuondoa mianya ya kibeberu kuchukua nafasi ni bora vijiji vya Zanzibar vikaingia ubia na vijiji vya bara
kwa maana ya ukaazi,biashara,kilimo,ufugaji,uvuvi,utalii na n.k ili kujenga sura mpya ya Utanzania.
Km hawataki je?...wanasema wamechoka..