pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Watajua wenyewe kama wana mikataba au wanajitoleaKlabu ya Simba imewatambulisha Mwijaku na Kay Mziwanda kuwa wahasishaji wapya wa klabu hiyo, kazi aliyokuwa akiifanya aliyekuwa Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara.
View attachment 1981932
Umewapokeaje wahamasishaji hawa?
Binafsi sina neno ila nina swali moja tuu, je hawa wana mikataba?