The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Tz bhana!! 😅 😅 😅Klop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz bhana!! 😅 😅 😅Klop
Wadau, pamoja na UBOVU wa Ole, lakini tatizo ni Uongozi/Matajiri wa hiyo timu. Toka Moyes, mpaka huyu, Ole, tumeshaona machaguo yao ya wachezaji. Lakini watoa fedha, hawatoi ili hayo machaguo yapatikane.Timu yangu kwa sasa inasikitisha, yaan hata ukienda kibanda umiza unapewa tv ya chogo kwamba hatuna mvuto tena
Hapo timu apewe tuchel au Pochettino
jambo lolote likifikia climax lazima litashuka tu, hapo hata ateuliwe nani haiwezi kukaa sawa it will take some years!